Wanawake nguvu hii inatoka wapi?

Wanawake nguvu hii inatoka wapi?

Naomba Mungu anisaidie nizidishe upendo, naomba mke wangu azidishe usafi baada ya kupata mtoto manake nina kinyaa...#si-utani ..

Hahahaa haaaa
Na hapa ndo huwa utata km umepata mwanamke ambae si msafi, manaake utakuta pampers kila sehem yaani balaaa
Unakuta mama ananuka mikojo na maziwa....
 
Hahahaa haaaa
Na hapa ndo huwa utata km umepata mwanamke ambae si msafi, manaake utakuta pampers kila sehem yaani balaaa
Unakuta mama ananuka mikojo na maziwa....

Umeona eeeeh!
Kuna jamaa yangu aliniambia jinsi alivyopata shida baada ya mke wake kujifungua....! Mke ananuka mikojo, maziwa, manake harufu. Balaa sasa baada ya arubaini mke anataka waanze kamchezo, jamaa asema alijivunga Na kukwepa kila mke anapomhitaji...
Mimi sitaweza, nina kinyaa balaaa..
 
kitu usafi ni nature ya mtu! kujifungua isiwe sababu ya mtu kuwa mchafu.. mwanamke msaf hawez vumilia kusikia hzo harufu za mikojo, maziwa n.k atajitahd kwa kadri ya uwezo wake kujiweka katika hali ya usafi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom