Wanawake ndiyo chanzo cha wanaume wengi kuchepuka

chanawaleti

Senior Member
Jul 4, 2016
176
209
ukitaka kujua umekua oa ishi ndani ya ndoa usione wanaume wengi wanashinda bar baada ya kutoka kazini sametime ni kuvuta Muda ili ukifika nyumbani ukute washalala pia kutuliza akili maana unaweza kufika nyumbani inakua kero wanawake huwa ni kero sana huwa wananyenyekea kipindi cha uchumba ila ukishamweka ndani bas anaizoea ndoa anaanza kuwa rafu ata kwenye penz hakupi kama zamani yaani ndiyo hapo mwanaume huaanza kufikiria kuchepuka mwishowe analeta magonjwa ndani kwa nini kina dada mnabadilika mkishaingia ndoani?
 
1467972086624.jpg
Mmh
 
Lawama zote kwetu..nyie hambadilikagi? Na mwanamke akichepuka nani alaumie??
 
Sio kweli, ndo maana ya kuchunguzana kabla ya ndoa. Atakaeanza kubadilika ni tabia yake toka awali ila hukuiona tu maana ulikuwa hujui unataka nini na kama uliiona na ukapuuzia ujue huo ni msalaba wako.
 
wanawake tatizo
mwanamke ana njia kibao za uhakika za kumfanya MUMEWE asitoke nje ya ndoa au atulie na kuhudumia famiria vizuri

lakini sisi wanaume hatujui tufanyaje ili mkeo aturie na alidhike

WANAWAKE TATIZO
 
Ukichagua kiatu ambacho c saiz yako lazimkikubane tu.Kila mara naon wengine wanatafuta wachumba hapahapa na kigezo cha wengi wanasisitiza awe amejaliwa nyuma bila kuchunguza tabia .Baada ya muda akifunua makucha mnaanza kulalama na kujumuisha wanawake wote.Chaguo lako likiwa sahih ndo furaha yako kesho
 
Teh! Ndo maana wanaume wengine wanaamua kugonga mpk 40 ndo wanatangaza ndoa. Muda mwingine hata ndugu yako ukimpigja simu kama hajamuelewa vizuri atasema mchepuko wako. Kila siku kusingiziana. Mwanaume anaona kuliko kusingiziana wongo kila siku bora sasa agonge nje ili ukimsema iwe haki.
 
Mmeshaanza kutafuta vi-justifications. Wengi wenu hizo sababu mnazitafuta tu kwa nguvu
 
hahaaa..... wanaume bwana.. mnapenda kuendesha mtu kama gari... ila ujue hata gari ukielekea wrong side linapata ajali...
ukishindwa kufunga Break navyo hivyo hivyo.
wanawake huwa tuna ishi kucope na mazingira.
ukiona mkeo kabadilika jua umebadilika mara mbili zaidi.
Assess yourself first.
 
hahaaa..... wanaume bwana.. mnapenda kuendesha mtu kama gari... ila ujue hata gari ukielekea wrong side linapata ajali...
ukishindwa kufunga Break navyo hivyo hivyo.
wanawake huwa tuna ishi kucope na mazingira.
ukiona mkeo kabadilika jua umebadilika mara mbili zaidi.
Assess yourself first.
Vip wewe baseline infomation zikoje?
 
Back
Top Bottom