Wanawake nawaomba muacheni mambo yakuiga

Wanawake nawaomba muacheni mambo yakuiga

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,473
Reaction score
83,677
Habari zenu wasakatonge ...natumai wazima

Naanza hivi aisee nina mchipuko wangu maeneo ya Kigamboni ...kiukweli is very sex ...lakin cha ajabu huu mchipuko wangu...Unatumia Sigara aina ya Nyota ambayo inajulikana kama (Sigara Kali)...

Yaani mpaka naandika hii thread Niko nae hapa anavuta sigara yake aina ya nyota ...yaani ameshababuka midomo lakin ...nkijaribu kumwambia ahache anavimba.

Aisee ni noma mtoto mzuri ila anavuta sigara ya Nyota ....hata sijui anajisikiaje ...maana anadai iyo sigara ya Nyota nimbadara wa sigara kubwa...yaan namaanisha weed...kwani anasema zamani alikuwa anablaze weed ..ndo akaamua kuacha na kuamia kweny Sigara aina ya Nyota.

wanawake mnabid mjitahid kujiheshimu izi mambo za kuvuta sigara za wazee sio mpango...mnaharibu dow.
 
sifa kuu ya sigara hiyo ya nyota ukivuta lazima ukakate gogo (kunya)
harufu yake ukikaa na mvutaji ni mbovu haitoki haraka kwenye nguo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
d68bedf039ff1fc85a38240f5103647c.jpg
 
Mchunguze vizuri Mkuuu, kutakuwa na mengi zaidi ya hayo!
 
sifa kuu ya sigara hiyo ya nyota ukivuta lazima ukakate gogo (kunya)
harufu yake ukikaa na mvutaji ni mbovu haitoki haraka kwenye nguo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanapataga shida sana wakienda kukata gogo wallah nimecheka sana kuna rafiki yangu anakula mirungiii ila utamsikia anasema hapa nawaza kwenda toilet sipati picha nitakavyokaa saa lizima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na sijui kwanini wanawake wavutaji wa hii kitu wanakuwa warembo balaa. Kuna mmoja alikuwa mfanyakazi mwenzangu anaitwa Jesca kalikuwa karembo haswa lakini kalikuwa kanapuliza hatari
 
Hapo kwenye midomo myekundu chunguza vizuri asije akawa anasingizia sigara kumbe kashaungua, maana kuungua mdomo ni dalili mojawapo ya HIV
 
Pia atakuwa anapata kitu cha arusha au alishawahi vuta....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom