IKARAHANSI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 398
- 479
Habari za muda huu wana JF!
Ni muda mrefu nimekuwa nikisikia hii habari/imani ya baadhi ya sisi wanaume na baadhi ya wavulana. Imani yenyewe ni kuwa Mwanaume aliyekubikiri halafu mkaachana ni mwiko kumnyimba kumnyima unyumba, yaani hata kama mtakuja kukutana ukiwa tayari umeolewa na una watoto kisha akaomba kukumbushia (kufanya ngono/mapenzi) ni mwiko kumkatalia. Je, hii imani ni ya kweli?