Wanawake nao... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake nao...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jul 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  [h=3]Wanawake nao...[/h]

  [​IMG]
  Wanaume hukatishwa tamaa na wanawake kwa kuwa wanawake hawapendi sex na wanawake hukatishwa tamaa sana na wanaume kwa kuwa wanaume kila mara wanachotaka ni sex.
  Wanawake hulaumu sana wanaume kwa kuwa hawajui kupenda (love) ni kitu gani.
  Na wanaume huwalaumu sana wanawake kwa kuwa hupenda kuongelea sana upendo (love) lakini hawataki kufanyia kazi (vitendo
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mh ayo majan yamelala fresh..itakuwa yamechoshwa na mme wake kutaka njunji daillll:pound:
   
 3. m

  ma jery Senior Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mpendwa mi nimeachana na mpenzi wangu mana nilikataa kusex nae.hv mtu kama unampenda unaeza kumuacha kweli?
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  kuna wanawake wanapenda njunji kuliko wanaume....24/7 anataka njunji...kama hujiwezi waweza omba pooo.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Mwaya mie niliedhani mtarajiwa alikuwa hadi wakati wa kazi ati nikamchuke mjini twende pale mivinjeni nikamwambia aku nchezo gani hiyo nikaanza yaani jiulize ntu kama huy ukimwacha yuko nanani wapendwa??
   
 6. T

  Tall JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  HUYU PIDY NI MKE AU MME???
  1.Mwanamme ukiweka mazingira ambayo mwanamke mwenyewe atataka MECHI kunakuwa hakuna tatizo.
  2.Ubinafsi na kukomoana husababisha tatizo hili
  3.Wivu wa kijinga nao husababisha hali hiyo.....ngoja nimchoshe asiende kuiba,UNAJIDANGANYA......UTAMCHOSHA NA ATAIBA AKIAMUA.
  WIVU UNAOPITILIZA NA UBIAFSI HAUFAI.
   
 7. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kiukweli hili swala ni gumu kusex yategemeana na hulka ya m2 coz wanawake wengine humpenda mwanaume kwa ajili ya sex only kila akimuona hana wazo zaidi ya ngono. sometims ina boa kwa demu kupenda mtungo sana.
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  umeona chavkaaaaaaaa

  kweli yamekukuta si mchezo tumwagie data
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo akina dada ile huwa ni zuga tu?
   
Loading...