Alex Dennie
Senior Member
- Aug 31, 2013
- 112
- 44
Jamani kiukweli suala hili limetokea takriban mara 100 kwa macho yangu,mwanamke akiona mwenzie anatoka na jamaa fulani hapendi,lazima aone wivu...haya juzi hapa nimepata demu mkali,kuna rafiki yake mmoja hapendi,hatusalimiani mpaka leo kisa namtifua rafiki yake...ukipita na demu wako lazima wasonye..yaani wana wivuuuu tofauti na men