wanawake na wasichana wa dar..

hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjiniau kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki??je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?
Is this proved in any way?
 

duh muhesabu gharama na mapenzi hayajui... kwani wewe unapokubali kuingia gharama hizo huwa unadhani unalipia nini? huduma ghali ndugu na ukitaka bure ... kaa ukijua utalipa zaidi ya unavyofikiri bure ghali na starehe ni gharama...
kwani unadhani hao wasagaji hawaingii gharama? na hapa inaelekea umelenga kuwasakama wanawake kuwa ndio wanaotia gharama je wanaume nyie hamna gharama??? unaelewa japo kidogo mambo yanavyoendelea hapa mjini? hujue ck hizi wanaume wengi wamebaki suruali tu? hjui wanawake wengi wanaingia gharama tena kubwa kwa ajili ya starehe hizo? halafu henkel ni kampuni au ulikuwa unafananisha na jina la kile kinywaji maarufu kinachosambaswa na mabibo wines???
 
Si kweli na hii kauli ni ya kukataa ukweli kama sisiemu inavyuoulizwa jambo, mapema hulikataa na baadae inashindikana linaonekana laivu, wanakubali. Kama hauna habari subiri uhabarishwe. Aaala!

we utakua tundu lis...u
 
Mambo ya blenderlization hayo.Kule nchi ya pili niliyashuhudia haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…