wanawake na wasichana wa dar..

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjini
au kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki??
je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?
 
hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjini
au kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki??
je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?

Ni asilimia ngapi ya wasichana and/or wanawake wa Dar wanasagana?
 
hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjini
au kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki??
je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?

...hata vitendo vya kishoga vimeongezeka mijini. Sasa sijui ni kweli tatizo kubwa limefichika au ni fasheni tu kama unavyosema...

Kwa mtizamo wangu, utandawazi na uhuru wa vyombo vya habari na serikali umewezesha kuweka huru mambo haya.

mifano (at your own risk!);

http://images.google.co.uk/imgres?imgurl=http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/1240915419_shoga3.jpg&imgrefurl=http://www.globalpublisherstz.com/2009/04/28/dunia_imekwisha.html&usg=__XKJxxGFhMnJSE19VwNQkjWDnh6s=&h=346&w=450&sz=25&hl=en&start=25&tbnid=BYOGtWsmp0dOVM:&tbnh=98&tbnw=127&prev=/images%3Fq%3Dmashoga%2Bdar%26gbv%3D2%26ndsp%3D18%26hl%3Den%26sa%3DN%26start%3D18

http://images.google.co.uk/imgres?i...mashoga+dar&gbv=2&ndsp=18&hl=en&sa=N&start=18

http://images.google.co.uk/imgres?i...w=93&prev=/images?q=shoga+taarabu&gbv=2&hl=en
 
wale wote wenye akili timamu watajua hilo si jambo la kawaida, huu ulimwengu umekwisha kuwa sasa hakuna waume wa kuoa kuna mijanadume tu, kwa nini kama wanaume shababi wapo wasi weze kuoa na mpaka inafika wanawake wanasagana ni starehe gani wanayoipata ni sawa na kuku jike kumpandia kuku jike mwenziwe tu. Hiyo ni laana na misiba mingi itaendelea kutufika kwa kumsahau M/Mungu alietuumba jinsia mbili tafauti ambazo ndizo zinohitajiana.
 
hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjini
au kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki??
je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?

...hata vitendo vya kishoga vimeongezeka mijini. Sasa sijui ni kweli tatizo kubwa limefichika au ni fasheni tu kama unavyosema...

Kwa mtizamo wangu, utandawazi na uhuru wa vyombo vya habari na serikali umewezesha kuweka huru mambo haya.

mifano (at your own risk!);

http://images.google.co.uk/imgres?i...mashoga+dar&gbv=2&ndsp=18&hl=en&sa=N&start=18

http://images.google.co.uk/imgres?i...mashoga+dar&gbv=2&ndsp=18&hl=en&sa=N&start=18

http://images.google.co.uk/imgres?i...w=93&prev=/images?q=shoga+taarabu&gbv=2&hl=en

Wakuu Boss na Mbu
Ni kweli dunia inaonekana kuharibika zaidi siku hizi kwa vile kuna vyanzo vingi vya habari na uhuru wa kupata habari nao uko mpana zaidi kuliko miaka ya nyuma.Utandawazi umewezesha watu kujiweka huru zaidi hasa baada ya kuona kumbe tabia zinazoonekana hazifai huku kwetu, kwa wengine ni mambo ya kawaida.
Nilichokuwa naomba Boss afanye ni kuweka vyanzo vya kuonyesha kuwa tabia ya wasagaji miongoni mwa wanawake na wasichana Dar inaongezeka kuliko ilivyokuwa.Sijakataa kuwa wasagaji hawapo.Wapo ila siyo kwa kiwango ulichojaribu kuonyesha hapa.Katika jamii yeyote ile mbegu za tabia mbaya hazikosekani - wapo wezi, wauwaji, walevi, washirikina...na hizi siyo tabia zinazotakikana katika jamii.Ila itatisha kusikia statement kama aliyoitoa Boss kuwa uuaji sasa ni fasheni na wengi wanashiriki.Tukipata statement kama hii nadhani tutashtuka na kutaka kujua chanzo chake na hata viashiria vyake.

Mkuu Mbu yeye ameonyesha kwa picha kuwepo kwa mashoga - ushoga umekuwapo na mashoga wanajulikana na hawajifichi kama wasagaji.
 
Resistance is futile, even physicists know you can't fight entropy.

The singularity is near.
 
hakuna wanaume wakutosha. Wengi wetu wanaume tukisha piga chupa mbili hatuna maana inabidi sasa wanawake wajushghulikie wenyewe.
 
hakuna wanaume wakutosha. Wengi wetu wanaume tukisha piga chupa mbili hatuna maana inabidi sasa wanawake wajushghulikie wenyewe.

...na wachache 'waliopo' wana prefer TiGo!...:) ngoja sikukuu ipite uone watavyokuja kwa kasi mpya...
 
huu unaweza kuwa umbea,, ila hawa watu kama ni kweli kuna kitu gani wanakipata?/
 
Thread inafit kwenye udaku na mambo yasio serious. Ushambenga.

Haupo sahihi katika hili.Hili ni jambo serious kabisa.Hivi unategemea kijana ambaye hana discipline na mwili wake au hajipendi kwa kufanya mambo ambayo hayakubaliki katika jamii anaweza kuleta mabadiliko ya dhati katika nchi??!.Kwa sasa tuna-struggle kwa kila jinsi ili kuinasua Tanzania katika umasikini na aibu,na ikiwa vijana wakaachwa wanaangamia itakuwa ni tatizo jingine.
Vijana wa vyuo vikuu na walioko katika sekondari za mabweni ndio wapo pia katika hatari hiyo.Mimi nilisoma katika shule ya bweni na nilikuta mtindo wa kuchaguana familia kama baba ,mama na mtoto.kulikuwa na malalamiko kuwa wengine walikuwa wanapitiliza wanafanya kweli.Wakati huo sikuwa naelewa lakini sasa ndio naona hatari yake kwa mambo kama hayo yakiendelea sana yanajenga hisia kama mahusiano mengine na mwishowe ndio huo usagaji.
 
Back
Top Bottom