Wasagaji lazima waongezeke maana wanaume wamepungua, isitoshe gharama kwa hao wachache waliopo zimezidi kuwa kubwa.
- unaanza na drink na kuku --anataka kunywa wine , or savana or henkel almradi ya ghali . hapo minimm ni 40,000
- Unakodi room --- cheapest 30,000
- Unatia mzigo , mkimaliza unamtoa , minimum 20,000
- Teksi ya kurudi kwao 10,000
Hadi hapo laki kweisheni.
Baada ya siku mbili anakutext please recharge me .
Baada ya siku mbili anatuma invoice .... oh mama mgonjwa, oh nadaiwa etc etc ali mradi anataka minimum 50,000
Total for one stance ...............150,000.
Wiki nyingine anataka , inayofuata anataka nakadhalika nakadhalika. mwisho wa mwezi unakuwa umemfanyia yeye kazi. Sasa kwa nini watu wasisepe? Wapunguze gharama watachukuliwa tu kimpango.