Thread inafit kwenye udaku na mambo yasio serious. Ushambenga.
Ziondaughet said:Haupo sahihi katika hili.Hili ni jambo serious kabisa.Hivi unategemea kijana ambaye hana discipline na mwili wake au hajipendi kwa kufanya mambo ambayo hayakubaliki katika jamii anaweza kuleta mabadiliko ya dhati katika nchi??!.Kwa sasa tuna-struggle kwa kila jinsi ili kuinasua Tanzania katika umasikini na aibu,na ikiwa vijana wakaachwa wanaangamia itakuwa ni tatizo jingine.
Vijana wa vyuo vikuu na walioko katika sekondari za mabweni ndio wapo pia katika hatari hiyo.Mimi nilisoma katika shule ya bweni na nilikuta mtindo wa kuchaguana familia kama baba ,mama na mtoto.kulikuwa na malalamiko kuwa wengine walikuwa wanapitiliza wanafanya kweli.Wakati huo sikuwa naelewa lakini sasa ndio naona hatari yake kwa mambo kama hayo yakiendelea sana yanajenga hisia kama mahusiano mengine na mwishowe ndio huo usagaji.
Si kweli na hii kauli ni ya kukataa ukweli kama sisiemu inavyuoulizwa jambo, mapema hulikataa na baadae inashindikana linaonekana laivu, wanakubali. Kama hauna habari subiri uhabarishwe. Aaala!
Haupo sahihi katika hili.Hili ni jambo serious kabisa.Hivi unategemea kijana ambaye hana discipline na mwili wake au hajipendi kwa kufanya mambo ambayo hayakubaliki katika jamii anaweza kuleta mabadiliko ya dhati katika nchi??!.Kwa sasa tuna-struggle kwa kila jinsi ili kuinasua Tanzania katika umasikini na aibu,na ikiwa vijana wakaachwa wanaangamia itakuwa ni tatizo jingine.
Vijana wa vyuo vikuu na walioko katika sekondari za mabweni ndio wapo pia katika hatari hiyo.Mimi nilisoma katika shule ya bweni na nilikuta mtindo wa kuchaguana familia kama baba ,mama na mtoto.kulikuwa na malalamiko kuwa wengine walikuwa wanapitiliza wanafanya kweli.Wakati huo sikuwa naelewa lakini sasa ndio naona hatari yake kwa mambo kama hayo yakiendelea sana yanajenga hisia kama mahusiano mengine na mwishowe ndio huo usagaji.
....ni kweli inawezekana wanaongezeka .....sababu nina experience na mdada mmoja..yuko sexy and smart na ambaye ni msagaji miaka mingi iliyopita(ni jirani yangu)....ila siku hizi ninamuona anachukua mademu wakali sana...na mara nyingi huwa ni mademu tofautitofauti(sometimes wake za watu).......nimeshakutana naye sehemu kibao za starehe pamoja na strange...sometime hata kanisani huwa wanaongozana....just imagine!!!Nilishawahi kumuuliza mmoja wao (sometimes huwa tunahang'out nao kwenye joints za mtaani wakati wanamsubiri )...wanasema huwa kwa shughuli yake huwa wanakuwa fully satisfied ukilinganisha na most men sikuhizi wako selfish and not strong enough!!!!....vilevile ni salama zaidi kwao nk nk...hivyo inawezekana hiyo kweli ndiyo trend analysis......nilishikwa na butwaa lakini ndiyo najionea live.....

...na wachache 'waliopo' wana prefer TiGo!...🙂 ngoja sikukuu ipite uone watavyokuja kwa kasi mpya...
haupo sahihi katika hili.hili ni jambo serious kabisa.hivi unategemea kijana ambaye hana discipline na mwili wake au hajipendi kwa kufanya mambo ambayo hayakubaliki katika jamii anaweza kuleta mabadiliko ya dhati katika nchi??!.kwa sasa tuna-struggle kwa kila jinsi ili kuinasua tanzania katika umasikini na aibu,na ikiwa vijana wakaachwa wanaangamia itakuwa ni tatizo jingine.
Vijana wa vyuo vikuu na walioko katika sekondari za mabweni ndio wapo pia katika hatari hiyo.mimi nilisoma katika shule ya bweni na nilikuta mtindo wa kuchaguana familia kama baba ,mama na mtoto.kulikuwa na malalamiko kuwa wengine walikuwa wanapitiliza wanafanya kweli.wakati huo sikuwa naelewa lakini sasa ndio naona hatari yake kwa mambo kama hayo yakiendelea sana yanajenga hisia kama mahusiano mengine na mwishowe ndio huo usagaji.
....ni kweli inawezekana wanaongezeka .....sababu nina experience na mdada mmoja..yuko sexy and smart na ambaye ni msagaji miaka mingi iliyopita(ni jirani yangu)....ila siku hizi ninamuona anachukua mademu wakali sana...na mara nyingi huwa ni mademu tofautitofauti(sometimes wake za watu).......nimeshakutana naye sehemu kibao za starehe pamoja na strange...sometime hata kanisani huwa wanaongozana....just imagine!!!nilishawahi kumuuliza mmoja wao (sometimes huwa tunahang'out nao kwenye joints za mtaani wakati wanamsubiri )...wanasema huwa kwa shughuli yake huwa wanakuwa fully satisfied ukilinganisha na most men sikuhizi wako selfish and not strong enough!!!!....vilevile ni salama zaidi kwao nk nk...hivyo inawezekana hiyo kweli ndiyo trend analysis......nilishikwa na butwaa lakini ndiyo najionea live.....
yaani,hili ni swali zuri...
hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjini
au kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki??
je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?