Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,832
- Thread starter
- #41
Mnajua mm ni muhehe nita jinyongaUnataka jamaa ashushiwe kipondo heavy? Unaweza kukuta aliyempachika mimba ni kitoto Cha form two C.
Mnajua mm ni muhehe nita jinyongaUnataka jamaa ashushiwe kipondo heavy? Unaweza kukuta aliyempachika mimba ni kitoto Cha form two C.
Vumilia au mpe mkwara aache kudeka 😂Eee
Nimechok
Mm nishamuelewa ina miezi 6 af ata yeye akininyima pakuzipata zipo nyingi isitoshe yeye kaja niambai ina miezi miwili so nimetilia mashaka nipo mguu nje mguu ndaniIna miezi mingapi mkuu, pia watalamu wanasema mimba huja na hali tofauti kwa wanawake wengine kuugua moja kwa moja hakupumzishi mpaka ajifungue, hivyo kwa lugha rahisi mvumilie nawewe ndiye tiba yake ukikwazika akajitambua we ni kero kwake utamhatalisha afya yake na mtoto.
Hapo umesemaVumilia au mpe mkwara aache kudeka 😂
Hahaha 😂, umenikumbusha Ngoma ya Mike ft Q Chief mnyalu.Mnajua mm ni muhehe nita jinyonga
Weee cheka tuHahaha 😂, umenikumbusha Ngoma ya Mike ft Q Chief mnyalu.
Huyo bibie anakupima tu mkuu, anataka kujua thamani yake kwako.Weee cheka tu
Huyo bibie anakupima tu mkuu, anataka kujua thamani yake kwako.Weee cheka tu
Hongera ba kijacho..... Raha ya mimba iwe na makashikashi yani mimba tsunamiHivi mimba zote ndio zilivyo hivi mtu ana lia bila sababu una bembeleza mpaka una pata hasira una amua kwenda mbali ukirudi tu ana weza kukuuliza swali wewe uka mjibu vizuri
Lakini aka angua kilio kikubwa kichwa kinauma aseee bora now nipo mbali lakini ana weza kukupigia simu ana lia tu sababu za kijinga mpaka ukiona simu yake utamani kupokea
Ee Mungu nini hiki 😣
Evelyn Salt
Anakudharau anakuona poyoyo, na huenda hiyo sio mimba yako, ana exergrate ili kuwa relavant.Hivi mimba zote ndio zilivyo hivi mtu ana lia bila sababu una bembeleza mpaka una pata hasira una amua kwenda mbali ukirudi tu ana weza kukuuliza swali wewe uka mjibu vizuri
Lakini aka angua kilio kikubwa kichwa kinauma aseee bora now nipo mbali lakini ana weza kukupigia simu ana lia tu sababu za kijinga mpaka ukiona simu yake utamani kupokea
Ee Mungu nini hiki 😣
Evelyn Salt
Tena ni upumbavu mkubwa na anakupelekesha anavyotakaDah kweli ngoja nijaribu kuwa kauzu sasa huu upumbavu
AnajifanyishaNo ukimjibu short ana lia sana yaan ina kuwa kero kuepusha kero naamua kujishusha ndio najiuliza mimba zote ndio zina kuwaga hivi au
Kama mimi machozi yangu yapo mlangoni ukinigusa tu najaza ndooo unaweza kunihurumia hata kama kosa ni langu, nikiamua kulia nalia haswaaHuyo mwanamke wako wa ngapi bro, kamwe usiamini machozi ya mwanamke hasa kama hapo ameshajua akijiliza kidogo unaingia kwenye mtego wake, ana kukumanipulate kidogo kidogo namna hiyo
Anakuonea huruma mimba ya sio Yako ikiwa Yako atakupenda utashangaaHivi mimba zote ndio zilivyo hivi mtu ana lia bila sababu una bembeleza mpaka una pata hasira una amua kwenda mbali ukirudi tu ana weza kukuuliza swali wewe uka mjibu vizuri
Lakini aka angua kilio kikubwa kichwa kinauma aseee bora now nipo mbali lakini ana weza kukupigia simu ana lia tu sababu za kijinga mpaka ukiona simu yake utamani kupokea
Ee Mungu nini hiki 😣
Evelyn Salt
Dah nachoka mimi mjukuu wa mwandambooHongera ba kijacho..... Raha ya mimba iwe na makashikashi yani mimba tsunami
HapanaTena ni upumbavu mkubwa na anakupelekesha anavyotaka
🤣🤣 et zisio na babaAnafanya makusudi huenda anajua unampenda sana.....
Mbona zile mimba zisizo kuwa na baba zinajilea zenyewe mpaka mwisho zinapqmbana
KweliiiAnakuonea huruma mimba ya sio Yako ikiwa Yako atakupenda utashangaa