Wanawake na wanaume wazoefu tujuzane

Wanawake na wanaume wazoefu tujuzane

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,457
Reaction score
65,765
Hivi mimba zote ndio zilivyo hivi mtu ana lia bila sababu una bembeleza mpaka una pata hasira una amua kwenda mbali ukirudi tu ana weza kukuuliza swali wewe uka mjibu vizuri

Lakini aka angua kilio kikubwa kichwa kinauma aseee bora now nipo mbali lakini ana weza kukupigia simu ana lia tu sababu za kijinga mpaka ukiona simu yake utamani kupokea

Ee Mungu nini hiki 😣
Evelyn Salt
 
IMG-20251122-WA0060.jpg
 
Muulize ngabu kama na wazungu WAKO HIVYo basi ni kweli samia analia zaidi ya mkeo
 
Labda maana usipo pokea simu nikipiga akipokea naanza na samahana pleas nyingi mm nafanya ivyo sitak aangue kilio matokeo yake ana lia mnaanza kubembelezana mpaka kuna mda aongei nashikwa na hasira natamani kumpasua pasua najuta mimi
Samahani ya nini mzee mwanaume hutakiwi ujieleze sana, unamwambia tu nilikuwa na kazi nafanya mengine hayamuhusu inaonekana umemuendekeza unataka uonekane gentleman, itakukosti big time bro.
 
No ukimjibu short ana lia sana yaan ina kuwa kero kuepusha kero naamua kujishusha ndio najiuliza mimba zote ndio zina kuwaga hivi au
 
Huyo mwanamke wako wa ngapi bro, kamwe usiamini machozi ya mwanamke hasa kama hapo ameshajua akijiliza kidogo unaingia kwenye mtego wake, ana kukumanipulate kidogo kidogo namna hiyo
 
Dah kweli ngoja nijaribu kuwa kauzu sasa huu upumbavu
Sikia next tyme akianza kujiliza mwambie mwambie baadae ukimaliza kulia utanicheki kata simu kausha, na usimcheki pengine unampenda sana na hili linaweza kuwa gumu kwako lakini jitahidi ufanye, kwenye mapenzi kuna nguvu ya upendo, anaependa sana anakosa nguvu na anayependa kidogo ndo anakuwa na nguvu, kwa kesi yako wewe inaonekana wewe ndo unampenda sana so huna nguvu kwake unataka kila kitu umplease afurahi duh mambo mengi kuandika sio kweli sema ujue wanawake sio wazuri kuwa na nguvu lazima atakusumbua
 
Kesho nitalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom