Wanawake na wanaume tupo tofauti

Samahani mkuu.

Ila nadhani uelewa wako ni mdogo saana.

Ashkumu si matusi

Mkuu uelewa wako ni mdogo sana kuhusu wanawake,
hata hivyo ungekua na uelewa mkubwa ungeelewa nimeandika nini hapo juu..

Kijijini kwetu neno daby maana yake ni mwanume ambae sio ridhiki yani analiwa kiboga
 
Ashkumu si matusi

Mkuu uelewa wako ni mdogo sana kuhusu wanawake,
hata hivyo ungekua na uelewa mkubwa ungeelewa nimeandika nini hapo juu..

Kijijini kwetu neno daby maana yake ni mwanume ambae sio ridhiki yani analiwa kiboga
Unaona sasa.. unakokimbilia.


Haya.
 
Mkuu unanikumbusha kiburi na ubishi wa Emmy alikua hataki kushauriana yeye anataka ukubaliane na kila analokwambia
 
Mkuu unanikumbusha kiburi na ubishi wa Emmy alikua hataki kushauriana yeye anataka ukubaliane na kila analokwambia
Wewe kwa muda huo akiwa na mihasira na mishawasha yake mwambie ndiyo ninaenda kufanya unalotaka.

Mwisho wa siku fanya unaloliona litaleta neema mbeleni.
 
Siku hizi naona uvivu kuandika hapa.


Nimesema sema "ndiyo" hata kama uliloliitikia ndiyo haliendi kutekelezeka.

Ni wanawake wangapi ukiwepo mnaishi na ahadi lukuki za wanaume waliowambia ndiyo mwisho hawajazitekeleza?
Hawaelewi ukiitika "ndiyo" una maana gani.

Sisi wachache tunaelewa. That's why ivi viumbe havitupi tabu..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yeyote yule awe mwanaume au mwanamke.. Kila kitu ndio ndio ndio ndo ni nidhamu ya woga. Onesha msimamo wako / challenge if possible. Na ukifanya hivo mwanamke atakupanda kotekote si kichwani tu.. Atakupelekesha kitu ambacho kwa mwanaume kupelekeshwa sio kabisa


Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na hizo arguments!!! Vile vya mwanamke anayoyoma nawewe mwanaume unayoyoma nyote mnaonekana hamnazo.. Na mwanaume utadharaulika endapo utabishana kuongea na mwanamke yeye juu nawewe upo.... Wee msikilize Weeeeeeee akimaliza atanyamaza.. Au kama una hasira anayoyoma wee ondoka zako badaeee kabisa najua kila mmoja atakua normal then muulize sasa kwa nia na njia nzuri tu..... Wanawake kuongea sana ni nature yetu... Wanaume hamuongei sana bali watu wa actions... Ndomana wanaume wengine hawanaga muda Ile mwanamke unaanza kupanua domo tu paaaaaaaaaaaaaaaaaa


Cc Smart911
 
Huyo mwanamke anayepiga kelele ukimkubalia anavyotaka.

Atanyamaza. Hata usipotelekeza aliyokuwa analalamikia halalamiki tena....ndivyo mlivyo.
 
Yaani Mungu ametupa adhabu sana aisee Mwanaume mpende mkeo lakini mwanamke muheshimu mumeo...

Mwanamke Ana moyo wa kupenda kwa mwanamke kupenda Ni rahisi kuliko kuheshimu..

Sasa Mungu katupa mtihani Sana eti wapende wake zenu,unapendaje mtu asiyejua anataka Nini?Mtu hata yeye mwenyewe hajijui khaaaaa hiii si adhabu hii..

Na wapuuzi wengine wanapindua maandiko "Mwanaume utakula kwa jasho" au "John utakula kwa jasho" eti wanapindua wanasema mwanaume utakula kwa jasho na kuhudumia mkeo!!!!!really!!!!!Kuna sehemu wameandika mwanaume atakula kwa jasho na familia yake au kipembelembele chetu tu cha kubadili maandiko.

Mwanamke atazaa kwa uchungu sawa ndo nature yake. No more explanation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

THIS IS VERY TRUE HAHAHAHA
 
Very true yaani Kama Kuna kipindi kibaya Cha kumzingua Mwanaume Ni ukimkuta amechoka yaani hapo lolote linaweza kutokea mbaya zaidi Wanawake hawaelewi kabisa hii ishu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…