Wanawake na vituko

Wanawake na vituko

Miezi 6 iliyopita nilimtokea Dada mmoja,lakini akanizengua sana
Akadai hanipendi,na hataki kuwa na mimi
Sikukata tamaa,kama wanaume tusivyokubali kushindwa,lakini nilikataliwa kata kata, licha ya kumnunulia vizawadi vya hapa na pale vyote alikuwa anavitupa chini na nikimpa rafiki yake ampelekee anavirudisha na kudai hataki vizawadi vyangu

Siku ambayo nilikata tamaa ni siku ambayo aliniambia sina hadhi ya kuendana naye,nikakata tamaa,nikaamua kuacha


Baada ya miezi 6,Leo mchana amenitext wa "Hi"
Nikapiga kimya,usiku huu ,tunasalimiana vizuri lakini nashangaa kuwa ombi langu ndo analikubalie Leo,imagin kwa lugha ule na miezi 6 baada
Sijaendelea kuchat zaidi,maana hapa nilipo nina mwanamke mwingine

Nawaza sijui nimblock,nawaza sipati jibu
View attachment 762944
Duuh
 
Back
Top Bottom