Wanawake na vituko

Wanawake na vituko

We mjibu kiustaarabu tu. Mwambie hadhi yako haijabadilika bado ni ile ile kama miezi sita iliyo pita. Then msikilizie..
Inaonyesha wazi yupo desperate.
 
Mrudishie hiyo SMS aliyokutumia kwamba huna dadhi ya kuwa na yeye
 
Xaxa mpe nafasi
Aisee mkuu bweke naomba kwa hisani yako humo ulikoweka XX jaribu kutumia herufi sahihi uwapo humu.

Ni ombi tu mkuu wengine tunakereka sana na muandiko wa hivi maana nikiona mtu anaandika hivi basi kichwani huwa inanijia picha hadi jinsi muhusika alivyo.
 
Nigei namba yake au namimi atanisubirisha miez6
 
Mzee linda sana pochi yako,ikiwezekana hapo ulipo toa battery na line zote then zitenganishe handset iweke kwenye draw ya kabati battery weka chini ya meza line zitie kwenye porch.

Huyo njaa ishamuuma mabwana zake aliowapanga wamempa ahadi za mbali so ameona akuongeze wewe ummalizie shida yake chap chap,ukitaka kuammini jaribu kumwambia sawa uone kama siku mbili hizi hajakupiga kirungu.
 
Aisee mkuu bweke naomba kwa hisani yako humo ulikoweka XX jaribu kutumia herufi sahihi uwapo humu.

Ni ombi tu mkuu wengine tunakereka sana na muandiko wa hivi maana nikiona mtu anaandika hivi basi kichwani huwa inanijia picha hadi jinsi muhusika alivyo.
Huyo dada wa mleta mada huoni alivyoandika?pole lakini
 
Mpokee kwa bashasha ule tunda vizuri kisha umwambie hana hadhi ya kuwa na wewe.

wanaume hatupendi madharau na kujiona kwingi
 
Shutukaa!!.... then kimbia!
Jiulize why now?..
Kama suala lilikua hadhi,kwahiyo sasa hadhi yako imepandaa? Kuna mambo mengi ya kujiuliza kwanini sasa? Naamini huko ulikokua anategemea amekwama amekuja kukuangushia jumba bovu..
Mkatae mwambie its been a long time umeshachange mind.
 
Achana naee... Mpotezee amatumia atatumia udhaifu wako kama fimbo.....!!!
 
Back
Top Bottom