tuanzie hapa we umejuaje kama ni ktambi na sio ujauzito!!!Jana jioni nilienda kumtembelea jamaa yangu kigamboni,tukiwa kwenye jengo la kungoja mtumbwi/pantoni nikawa nimekaa kwenye viti vilivyomo mle ndani karibu na sehemu ya kuingilia. Hivyo nikapata fursa nzuri ya kuangalia kila anaeingia,leo pia nimefanya hivyo kule upande wa pili.
Asilimia kubwa ya wanawake niliowaona pale wana vitambi,tena vitambi vikubwa,wengi wakiwa ni mabinti wadogo na wa umri wa kati,yaani kati ya miaka 17-38. Wanawake hivi vitambi mnavitoa wapi?yani matumbo makubwa utadhani ujauzito kumbe ni kitambi. Hii ni hatari kwa kweli.
Jana jioni nilienda kumtembelea jamaa yangu kigamboni,tukiwa kwenye jengo la kungoja mtumbwi/pantoni nikawa nimekaa kwenye viti vilivyomo mle ndani karibu na sehemu ya kuingilia. Hivyo nikapata fursa nzuri ya kuangalia kila anaeingia,leo pia nimefanya hivyo kule upande wa pili.
Asilimia kubwa ya wanawake niliowaona pale wana vitambi,tena vitambi vikubwa,wengi wakiwa ni mabinti wadogo na wa umri wa kati,yaani kati ya miaka 17-38. Wanawake hivi vitambi mnavitoa wapi?yani matumbo makubwa utadhani ujauzito kumbe ni kitambi. Hii ni hatari kwa kweli.
offer za kitimoto na savanna!!! siku hizi wanamaliza kilo nzima na ugali, sijui wanamkomesha nani..
offer za kitimoto na savanna!!! siku hizi wanamaliza kilo nzima na ugali, sijui wanamkomesha nani..
Ke wengi wanaamini mazoezi ni kwa wanaume.
Yani unaweza kumkuta ke ana kitambi, afu maziwa yapo apo apo, kifua apo apo, tumbo apo apo, makalio apo apo na mgongo apo apo.
Sana sana kwa ke vibonge, kujisafisha wenyewe mtihani, fulu manongo, fulu kiharufu. Afu anabana pua na kusema hakuna waoaji!
Teh teh teh!