View attachment 119867
#Majanga ,
Naomba nifunguke kidogo.
Huko nyuma kuanzia miaka ya 1990 masuala ya uasherati yalikuwa katika kiwango cha chini sana tofauti na sasa ambapo rate ya uasherati imepamba moto sana! Nimekuwa nikijiuliza nini chanzo cha hali hii?
Katika observation yangu ya kawaida nimegundua kuwa uvaaji wa suruali kwa wanawake unaongeza matamanio ya zinaa/ngono kwa mwanaume. Mara nyingi wanawake waliovaa suruali kama za jinsi, na vile vitambaa vyepesi hushawishi tendo la ngono bila kuangalia umri!
Hiki ni chanzo cha ongezeko la uasherati ambacho kinakadiriwa kuwa kati ya asilimia 45% mpaka 65%.
Mwanamke anayejiheshimu na kujistri kwa heshima hawezi kuvaa suruali itakayomfanya mwanaume avutike kufanya naye mapenzi kwani kwa kufanya hivyo atakuwa anajitafutia kutongozwa na wanaume wengi ndiyo maana wanawake wanasemwa kuwa ndiyo waliosababisha uasherati kuongezeka na siyo wanaume!
naomba nikudanganye? hope umekubali, sivai kabisa,
sitaki unidanganye, natka uniambie ukweli bana
Huwa navaaa na miguu yangu ya kichaga inanisaidia kuficha hizi fito....
View attachment 119867
#Majanga ,
Naomba nifunguke kidogo.
Huko nyuma kuanzia miaka ya 1990 masuala ya uasherati yalikuwa katika kiwango cha chini sana tofauti na sasa ambapo rate ya uasherati imepamba moto sana! Nimekuwa nikijiuliza nini chanzo cha hali hii?
Katika observation yangu ya kawaida nimegundua kuwa uvaaji wa suruali kwa wanawake unaongeza matamanio ya zinaa/ngono kwa mwanaume. Mara nyingi wanawake waliovaa suruali kama za jinsi, na vile vitambaa vyepesi hushawishi tendo la ngono bila kuangalia umri!
Hiki ni chanzo cha ongezeko la uasherati ambacho kinakadiriwa kuwa kati ya asilimia 45% mpaka 65%.
Mwanamke anayejiheshimu na kujistri kwa heshima hawezi kuvaa suruali itakayomfanya mwanaume avutike kufanya naye mapenzi kwani kwa kufanya hivyo atakuwa anajitafutia kutongozwa na wanaume wengi ndiyo maana wanawake wanasemwa kuwa ndiyo waliosababisha uasherati kuongezeka na siyo wanaume!
suruali haimaanishi mvaaji ana tabia mbaya, ni nyie tu wanaume na HULKA ZENU....
Aah wapi we sema men wa kizazi hiki have no scruples at all
Ukimwona alovaa hijabu, suruali, kimini ilimradi ashaitwa ni mwananke mnawaza tu umpateje ili ungoneke
Mh...Labda hizi za siku hizi.......
![]()
hahahaha ila kumbuka nakupenda with your fitoz as well, ila wewe miss bana huwezi kuwa na fito
ubonge nyanya hauna shida, tupange safari yetui have fitos ila me ni kibonge nyanya natumia miss kwa sababu sijaolewa...