Wanawake na tabia zisizoeleweka

Toka nao mchana.
 
Mumezidi kutusakama wanawake, wanaume wa sikuhizi hovyo. Sasa kuzima taa ni issue kubwa ya mwanaume rijali Ku discuss, I feel sorry for my fellow woman dating a stupid guy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yalinikuta Ila nikatumia ile formula aliyoniambia babu mbele ya mwanamke lazima utumie ubabe yaani katika mambo kumi make sure robo ya tatu tumia ubabe lasivyo mwanamke atakudharau tu

Hayo ni maneno ya ukoo wetu usiige kama ukoo wenu tofauti

SASA NILIFORCE KUWASHA TAA NYOKA WANGU ALILALA USINGIZI WA PONO MWANADADA ALIKUWA NA MAPELE KAMA KANGA WA PORINI NA ALIKUWA ANAVAA SIJUI MAJUBA SIJUI MANINJA MDA WOTE SO MIMI NIKAIBUKA NAYE NIKADHANI NIMEPATA MTU SAFI KUMBE KIMEO KILICHOOZA
 
Mkuu ndo mana mnaambiwa msizini.
Ushamtia aibu mtoto wa watu hapo,ungekuwa mumewe ungetunza siri.[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu ndo mana mnaambiwa msizini.
Ushamtia aibu mtoto wa watu hapo,ungekuwa mumewe ungetunza siri.[emoji38][emoji38][emoji38]
Kabisa Ila sometimes nawaonea sana wademu imani tunavyowageuza geuza halafu badae unatupa kule ndo maana nikiachana na demu au mwanamke nmwomba radhi sana
 
Kama ni mara ya kwanza kukutana na wewe wengi huwa wanaona aibu kutokana na maumbile,lakini baada ya muda mnazoeana mambo yanakuwa moto
 
Nimejibana sana nisiandike nilichotaka kuandika.

Ila kuna tatizo mahali, either kwa mleta thread au kichwani kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…