Miguu yao wengi nikama tube right...hawataki kukutishaWengi wana makovu hivyo hawataki uyaone ndomana kakwambia uzime taa.
😂😂😂😂😂
hii ni tabia ya wa dada wengi, unataka kuniambia wote wana makovu!!?Wengi wana makovu hivyo hawataki uyaone ndomana kakwambia uzime taa.
ndo maana naitaji kujua na wengine yanawakuta ama ni mm tu na kama yananakuwata ni vp huwa mnafanya kuabiliana nayo!!?hii ishu ya kuzima taa ni ishu
Ivi kweli eti[emoji848][emoji848][emoji848], lkn mbna wengne hawako hivyo?!!Bado hajakuzoea
Ulitarajia binadamu wawe sawa?Ivi kweli eti[emoji848][emoji848][emoji848], lkn mbna wengne hawako hivyo?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
huwa sifagilii kabisa kuzima...hawa wadada acha tu..ila huwa nawasha taa kama chumbani kuzima nafungua mlango nawasha taa sebule nawasha spo mwanga unakuwepo...yani giza kabisa hapanando maana naitaji kujua na wengine yanawakuta ama ni mm tu na kama yananakuwata ni vp huwa mnafanya kuabiliana nayo!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi kuna huyo mzaramo alikata kuzimwa taa,,, kumbe ana fuzi kama ndevu za afande sele,, mchikichi wangu ulichanika ile mbaya
ni mtu mzima sana, yaan ckuamin kama anaweza kuwa wa hivyo, hiyo mihaibu tushawaachia makinda -17yrs..Ulitarajia binadamu wawe sawa?