Wanawake na style mpya ya kujifungua

Wanawake na style mpya ya kujifungua

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
4,754
Reaction score
3,763
Salaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika hospitalini kwa ajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda Kijiji cha mkoa fulani hivi. I was there for two weeks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida.

Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama.
 
salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,

kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana ktk private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? Kwasababu operation inagarama zake ati!

samahani,we mwanamke au mwanaume?
 
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana ktk private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!

hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida.
There you have it
 
Akijifungua kwa operation mtoto hawi wa kawaida?
Uwe na adabu, wakati vifo vya mama na watoto vinahitajika kupunguzwa wewe bado unadhani ni sifa kuzaa kwa kusukuma?

Grow up!

Kwahiyo source ya vifo ni kujifungua kwa njia za kawaida? nina uwalakini na wewe unaweza ukawa mmiliki wa hospitali binafsi ambako ndiko hizo operation zimekithili
 
Hapo kuhusu mjini umeongeza chumvi. Hapo si karibia kila mwanamke wa mjini angekuwa na mshono. Hata robo hawafiki. Nimeona hospitali za private kama nusu hivi na wanaoenda huko ni wachache. Hospitali za serikali za mjini hata robo hawafiki. Wengi tu wanajifungua kwa njia ya kawaida.
 
Mkuu idadi ya operation inatisha. One day nilikuwa hospitali flani hivi katikati ya mnazi mmoja. Chumba kilikuwa na wamama wanne kati na wote walifanyiwa upasuaji, vyumba vingine usiseme
 
wanaogopa k kupanukaaa so mtu anaenda kuweka oda kbsa dat docta ampangie cku. Mimi hili nimlishuhudia kwa zaid ya watu watatu. Mungu nisaidie sitaki operation.
 
Back
Top Bottom