Kila la heri dogo...utaweka mikataba mingi sana kwenye maisha yako lol...una muda wa kuweka mikataba mpaka wa kupokea simu ...duh...kweli hiyo sayari mimi niko far from it...Ndiyo maana huwezi kusikia nimeoa, kwa ajili ya mambo kama haya.
Mimi nataka nipokee simu muda ninaotaka, na nisipotaka nisipokee.
Na hata nikioa ndoa yangu haitabadilisha hilo, unajuaje ma schedule na timetable yangu yanaendaje?
Bottom line ni makubaliano katika uhusiano yakoje, kuna wengine hawataki hata hizo cellphone, sasa kama unataka mtu awe reachable all the time hawa wasio na cellphone utasemaje?
My point ni kwamba hizi expectation kwamba mtu atakuwa reachable all the time bila ya kuongea na kukubaliana hivyo haziko realistic, na mnaweza kuwa mnaji set up for disappointments tu.
hili tatizo sio la wanawake peke yao! hata wanaume pia wanalo sana! kwahiyo naweza kusema kwamba ni tabia ya mtu tu jinsi alivyojizoesha!JF napata experience na wife yaani simu ya mkononi mara nyingi iko chumbani, ndani ya begi, etc? huwezi kumpata on time hata kama issue ni very urgent lazima upige kama mara tatu na kuendelea...??
Do you experience the same kwa wake/girlfriends wenu na unashauri nini kifanyika?? inaboa sana hii.
Ndiyo maana huwezi kusikia nimeoa, kwa ajili ya mambo kama haya.
Mimi nataka nipokee simu muda ninaotaka, na nisipotaka nisipokee.
Na hata nikioa ndoa yangu haitabadilisha hilo, unajuaje ma schedule na timetable yangu yanaendaje?
Bottom line ni makubaliano katika uhusiano yakoje, kuna wengine hawataki hata hizo cellphone, sasa kama unataka mtu awe reachable all the time hawa wasio na cellphone utasemaje?
My point ni kwamba hizi expectation kwamba mtu atakuwa reachable all the time bila ya kuongea na kukubaliana hivyo haziko realistic, na mnaweza kuwa mnaji set up for disappointments tu.
vizuri sana...maisha ya ndoa sio ya kumfaa kila mtu, wengine huwa wanaingia kichwa kichwa tu, halafu muda si muda wanatoka kwa kasi ya ajabu, kuna watu wameumbwa kuwa bachelors maisha yao yoote!
tuna-solve vipi hii problem is long overdue.
Nadhani kila mtu ana namna yake ya kutatua hii kadhia, kulingana na mazingira inavyotokea.
Mie kuna wakati nilipiga simu kama mara sita, inaita tu haipokewi. Kuja kuuliza kumbe mtu anafua nje na kaacha simu chumbani kitandani, na issue ilikuwa urgent sana. Nilitoa mkwara kwamba iwapo simu ya mkononi inageuka ya mezani basi kunakuwa hakuna haja ya kupiga. Ikawa nikipiga haijapokelewa basi sipigi tena, na akipiga sipokei. Kitendo hiki cha mimi kutopiga tena wala kupokea simu yake kikawa kinamkera sana hata yeye, akajua uchungu wa kutopokea simu.
Utatuzi ni kwamba alinunua kamba ile ya kuning'inizia, anakuwa nayo shingoni muda wote. Kwa sasa simu zinapokewa kama kawaida, simu haikai katika pochi tena.
IT WORKED!

Simu za mkononi huwa zina profiles ambazo mtu unaweza kuchagua profile mojawapo kutegemea na mazingira; Noisy environment, Quiet environment, wengine wanaita Discreet, Silent, General, Loud, Light Only na pia unaweza ukacustomize setting zako ukalipa profile jina utakalo. Hii inawezesha kubadili features mbalimbali ikiwemo milio na ya simu na volume zake ili kuweza kuwa reachable ktk mazingira tofauti, kwa hiyo suala la kusema simu ilikuwa chumbani wakati mimi nilikuwa jikoni linatakiwa lisiwepo.