Hahaaa. Mchukulie ni kama ajali tu sasa rafiki sababu huwa haina kinga.Nikweli lakini vijana maandalizi yao huwa makubwa sana unakuta na gharama kishaingia kununua baadhi ya mahitaji kwaajiri ya ujio wa mtoto...
Sawa vijana wamekusikiaHahaaa. Mchukulie ni kama ajali tu sasa rafiki sababu huwa haina kinga.
Hamnaga mtu mwenye maandalizi ya muda mrefu kiasi hicho Mkuu na ukiona hivyo jua umeanza kudanganywa tokea hiyo saa 6.Sasa mkuu mtu anajiandaa toka saa 6 hadi saa 12 ndio anapata dharura huko kujiandaa anakua kama anaenda vitani
Mmhh. Koh koh koh.Sawa vijana wamekusikia
Alafu hapo unakuta umejikoki kinoma kama geto usafi umepiga wa kufa mtu....
Kwali wanaume tumeumbwa mateso![]()

Ukiona hivyo ujue wewe ni bahili ndiyo maana anaona hakuna hasara hata akihairisha...
Ukiwa ni mtu wa kujiongeza, na huduma za hapa na pale, message utakazopata ni nipo getini kwako hapa, nilikua napita nimeona nije kukusalimia...
Cc: mahondaw

Huoni kama imekuwa faida kwako?? Hukuwa na ratiba ya kulifanyia getto lako usafi wa kufa mtu kwa siku hiyo.

...dahAppointment
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....
mungu anawaona !!
mimi appointment waiting ni one hr maximum iwe kwa mwanamke au mwanamke ukizidisha hapo huwezi nikuta

...
Mtoto akishasema hawezi kuja hapo usafi unahesabika kama ni usumbufu...

, Kwa hasira unavuruga vuruga vitu.
Ili kumkomoa itabidi kufanya hivyo, Kwa hasira unavuruga vuruga vitu.

Hapo kama ushapiga viagra aiseee![]()

, itabidi upambane na viagra zako