Wanawake Na Picha Za Utupu!!

Wanawake Na Picha Za Utupu!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,786
Habari zenu wana-MMU

Wanawake wamekuwa vinara wakubwa wa kuweka picha zao za utupu hadharani hasa kupitia mitandao ya kijamii,.

Mara nyingi picha hizi wanakuwa wamezipiga wakati wakiwa na wanaume wakifanya mapenzi lakini cha ajabu mwanamke ndiyo anaonekana,.

Inaelekea wanawake wanapenda kupiga picha za utupu pale wanapokuwa faragha na wapenzi wao,.

Tatizo linakuja pale hizi picha walizokuwa wamepiga kwa usiri mkubwa zinavuja hadharani,.

Nashindwa kujua wanawake ndiyo wanapenda picha zao za utupu zionekane hadharani au wapenzi wao ndiyo wanazivujisha kwa makusudi na kama ni hivyo kwa nini wanapenda kupiga picha za utupu hawa wanawake,.

My Take,.

Wanawake badilikeni na mjistahi ili mpate heshima yenu mnayostahili kama wanawake!!
 
Uliziona za Bongo movie??
 
Last edited by a moderator:
wako sokon'biashara matangazo'lakn wakumbuke hekaru la mungu co mahal pa kufanyia upumbavu wao'ashame on them''
 
Habari zenu wana-MMU

Wanawake wamekuwa vinara wakubwa wa kuweka picha zao za utupu hadharani hasa kupitia mitandao ya kijamii,.

Mara nyingi picha hizi wanakuwa wamezipiga wakati wakiwa na wanaume wakifanya mapenzi lakini cha ajabu mwanamke ndiyo anaonekana,.

Inaelekea wanawake wanapenda kupiga picha za utupu pale wanapokuwa faragha na wapenzi wao,.

Tatizo linakuja pale hizi picha walizokuwa wamepiga kwa usiri mkubwa zinavuja hadharani,.

Nashindwa kujua wanawake ndiyo wanapenda picha zao za utupu zionekane hadharani au wapenzi wao ndiyo wanazivujisha kwa makusudi na kama ni hivyo kwa nini wanapenda kupiga picha za utupu hawa wanawake,.

My Take,.

Wanawake badilikeni na mjistahi ili mpate heshima yenu mnayostahili kama wanawake!!

...maumivu ya kichwa uanza taratiiiibu...
21675_148547418637826_705095196_n.jpg

...Huyu akionyesha manjonjo yake.
 
biashara gani dada yangu,.

Mnajidhalilisha!!

Hivi utupu huo si wake???muwe mnaingia kwenye mitandao kuangalia project za biashara na vitu vingine vyenye tja na ww......hayo ya utupu wapo wadau wake
 
hiyo haiwezi kunizuia kufanya mambo ya msingi mkuu,.

Wanawake mnahitaji kubadilika maana mnajirahisisha sana
 
jack patrick.jpg

...Huyu akifurahi kujipiga mwenye...

jack wolper.jpg
 
hiyo haiwezi kunizuia kufanya mambo ya msingi mkuu,.

Wanawake mnahitaji kubadilika maana mnajirahisisha sana

Sema baadhi ya wanawake am wondering why u put the generalisation

to the whole entire Female population
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom