umeongea kweli kabisa, muda wa kusimama mahali mpaka mvua iishe ndo uende kituoni unautoa wapi. Unawaza si bora uende uwahi home utaoga ujikaushe. Halafu na huyo mwanaume ndo uwe unamrudia saa nne ya usiku kwa siku tatu tu za mvua utaona atakavyonuna. Akichelewa yeye ni sawa...mwanamke siku zote anakuwa anawaza majukumu yake ya nyumbani huo muda wa kujificha mvua bora awahi nyumbani akategeshe ndoa zake ajichotee maji awahi watoto wake usikute wanacheza kwenye mvua, aanue nguo za watoto wake alizofua tangu asubuhi zisilowe nk ndio maana wengi wanapenda kusema mwanamke anapenda kunyeshewa
umeongea kweli kabisa, muda wa kusimama mahali mpaka mvua iishe ndo uende kituoni unautoa wapi. Unawaza si bora uende uwahi home utaoga ujikaushe. Halafu na huyo mwanaume ndo uwe unamrudia saa nne ya usiku kwa siku tatu tu za mvua utaona atakavyonuna. Akichelewa yeye ni sawa...
naona mmeanza kutuwekea picha zo porn...........lol
Usinambie hadi leo hujawahi kufaidi kuona mtu kaloana na mvua...
Hahahaha hayo macho unaangalia midola hiyo au picha ya aliyeloa watu wanatupiamo tu ili kunogesha maadana hii ni ya kunyeshewa?
Hahahaha hayo macho unaangalia midola hiyo au picha ya aliyeloa watu wanatupiamo tu ili kunogesha maada
Gari sina nawahi mishe sometimes za muhimu mvua tu ndo inikatishe kweli?
naenda tu, ila hakunaga sababu bana
nitafute nikuoneshe.........
View attachment 156364kama rijali hii lowa lowa hii utasimamisha tu tena wima
Uuuuupsi ukipark hapo lazima utegeke pita taratibu wala usiangali kiivi.........
Mh hii topic imekaa vbya??Wanawake je mnapenda kulowa na mvua!!??
Unakuta mwanamke anatembea barabaran wakati mvua inanyesha alafu sehemu anayoijali kuikinga na mvua ni kichwa utamuona kajifunika mfuko laini au mwamvuli kama anao.
Sasa kinachonishangaza ni pale anapita halafu kuna eneo la kujihifadhi kwa muda ila wao wanatembea tu....
Je kuna raha ambayo wanaipata wakiwa wananyeshewa na mvua???
Hatari ....
wanawake je mnapenda kulowa na mvua!!??
Unakuta mwanamke anatembea barabaran wakati mvua inanyesha alafu sehemu anayoijali kuikinga na mvua ni kichwa utamuona kajifunika mfuko laini au mwamvuli kama anao.
Sasa kinachonishangaza ni pale anapita halafu kuna eneo la kujihifadhi kwa muda ila wao wanatembea tu....
Je kuna raha ambayo wanaipata wakiwa wananyeshewa na mvua???
Inasemekana mnapenda kulowa na mvua ili kupunguza maumivu na kutoa msongo wa mawazo(stress)?? Je kuna ukweli wowotee Evelyhln Salt.
lini uko free