Anaitwa Stephanie Kwolek, pia alivumbua Kevlar siyo bullet proof nilichanganya madesa.Kumbe bullerproof ni uvumbuzi wa mwanamke,ni nani huyo?
Mana tushazoea kuwasoma kina newton,Einstein nk
Big up kwa mama zetuAnaitwa Stephanie Kwolek, pia alivumbua Kevlar siyo bullet proof nikichanganya madesa.
Ingawa kevlar hutumika pia katika kutengeneza bullet proof imara kushinda zile halisi za mara ya kwanza.
Hizi kevlar ndiyo zinatumika kwenye magari yasiyoingia risasi na kwenye vest zinazozuia risasi na visu.
Mbona uume unaitwa bakora, mlingoti, dudu, ukuni, rungu, abdallah kichwa wazi n.k lakini wanaume hatulalamiki?Yaani pale ulipopita Wewe kuja hapa duniani unaipaita shimo!
Ni kweli kabisaMwanamke ni mzuri sana akiamua kuwa mzuri.. Na huyo huyo ni hatari sana akiamua kuwa mafia...