anuk aawkuj al asais ois ukuh
Aya ayaa yaaaa tena hao me ndo wamezidi kutukana kuliko wanawake tena hadharani tusi la kiungo kilichowaleta duniani. Sikuhizi ngumu kumtofautisha mwanaume na mwanamke mana wanaume siku hizi ni wachache
Watu hawajui tu mtu akiropoka na kutukana inapunguza machungu na kutoa ya moyoni baada ya mda yanaisha kuliko kuwa silent
Inawk akidnaemin asais apah ua iujuh amosuk
Khaa!! Hili ni jani la malawi ndiyo lina kawaida ya kuinvert picha. Kila gari unaloliona unaona limepinduka 😎