Habari ba ndugu, wanawake wengi hutukana waume zao/ wapenzi pale wanapo tofautiana tena hata mbele za watu au katika njia mbalimbali za mawasiliano na kusahau kama kuna maisha baada ya kutofautiana,, ikitokea wamepatana inabaki aibu tu na maombi ya msamaha mengi lakin unakua ushajitia doa,,ladies hata km umekosewa tumia busara usitukane coz kuna maisha hata baada ya kuachana,, nc sun day guyz
Ndio umeandika nini hapo
Wanawake wana midomo michafu sana, yaani kidogo tu anashusha maneno mazito to the extent mimi ninaetukanwa naona aibu yaani.
Kuna makosa ukifanya ni bora utukanwe tu yaishe, maana ukinyamaziwa kimya inaumiza zaidi.
Mi ni bora nitukanwe kuliko apige kimya aisee.
Hakuna kitu napenda kama kukaa kimya pale napokuwa nimekwaza vyovyote vile obmajuh tumeanza!
Bwana Yesu asifiwe baba Mchungaji. Naona umechukua Anointing ya mchungaji IllovoRev. Paulo
Mwee kwa hiyo mwanamke mnene akikutukana ni sawa?utakuta kajitu kembamba kama njiti,eti nako kanakutukana,dah!
Hahaha nitake radhi bana. Mi ni kama Run, God and Hip hop. Sio fursa.Bwana Yesu asifiwe baba Mchungaji. Naona umechukua Anointing ya mchungaji Illovo
Aisee kuna kosa ukimfanyia mtu akakaa kimya kisaikolojia unaumia sana, siyo atukane mbele ya watu no, ila ni bora atukane yaishe. Maana akikaa kimya nakuwa nawaza anachotaka kufanya kiasi kwamba naweza kuishi bila amani.
Obmajis eesia, ailagnaan isak ay Ilufugam akapm akemetetan.
Hahaha nitake radhi bana. Mi ni kama Run, God and Hip hop. Sio fursa.
Owh umemcoclude na mama yako shangazi dada zako Bibi zako pia au wanawake gan unawazungumzia? Nasema sio wote hata wanaume japo s wote nao wanamidomo michafu Sana Sana Kuna Uzi flan niliwah kuweka hapa Nina ndugu yangu alimpenda mwanaume to the maximum. Alikua akitukanwa Sana na hiyo bf wake ikafikia hatua matusi yakaongezeka kiwango bi dada ndo kapenda na hashauriki so hata nyie wanaume mna midomo michafu kamaa choo cha stendi JAPO SIO WOTE.