Wanawake na marafiki wa kiume

Hata kumuwazia kumla ni ngumu pia,maana mnakuwa washkaji na huwa mnapiga stori nyingi .
Huu sasa ni uwongo kabisaa. Wewe huwajui wanaume. Chakwanza kabisa ni kuwaza huyu naweza gegeda ama lah. Labda uwe ng'ong'o sanaaaa ndio hatutawaza mara mbili kuhusu kukugegeda. Tako sura matiti yapo fresh my dear tusidanganyane hapo ni kulia timing tuu siku aingie kwenye natural death ya mende
 
Wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao waliniambia hii kauli kuwa Wana marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake wenzao Sasa sijaelewa huwa wanajihami Ili siku ukikuta Wana mazoea na wanaume ujue kuwa walikutaarifu.

Sijawahi kuwa na mwanamke halafu aseme ana wakubali marafiki wenzake wa kike sababu eti Wana wivu.

Ila me sipendi hii kauli wanaoipenda kuitumia kwanini awe na marafiki wa kiume huu Ni utopolo.
Ukiona mwanamke anakwambia hivyo kwanza huyo jua tu hamtaendana sababu ameshakudharau.

Mwanamke anaekupa heshima ataogopa hata kuongea na baba yake mzazi au kaka yake mbele yako sababu hatotaka uone anampa mwanaume mwingine attention.

So kwanza mwanamke akikwambia hivyo mvue nyota mbili. Mvue nyota ya kuwa mke mtarajiwa na pili mvue nyota ya uaminifu, mbakizie nyota ya demu wa kupiga kwa starehe tu.

Usije ukanegotiate lolote na huyo terrorist, mwanamke anaekuletea story za mimi nina marafiki wa kiume mbona wewe una marafiki wa kike ni mwanamke anaekuandaa kisaikolojia kuwa mbeleni atakuwa anagongwa kisela na wale anaokwambia ni marafiki wa kiume kwake.

Never ever ever accept or buy that bullshit, akikwambia hivyo chagua moja awe wa kupiga na kuacha baadae au umwambie hiyo kwako ni deal breaker na hamtawezana.
 
Kuna binti alkuwa anapenda sana kuwa na marafik wa kiume lakin alikuwa anasikitika kuwa kila anapoenda akipata hao marafik wa kiume lazma mmoja wao atamkula tunda,alkuwa hapend hii kitu lakin alkuwa anajkuta kaliwa tayar
 
Hata kumuwazia kumla ni ngumu pia,maana mnakuwa washkaji na huwa mnapiga stori nyingi .
Huo ushikaji unapata benefits gani na yeye gani kwako?! Kwasababu ipo wazi mwanaume atakupa vingi wewe mwanamke na ndipo hapo balaa linaanza .
 
Ukiona mwanamke anakwambia hivyo kwanza huyo jua tu hamtaendana sababu ameshakudharau.

Mwanamke anaekupa heshima ataogopa hata kuongea na baba yake mzazi au kaka yake mbele yako sababu hatotaka uone anampa mwanaume mwingine attention.

So kwanza mwanamke akikwambia hivyo mvue nyota mbili. Mvue nyota ya kuwa mke mtarajiwa na pili mvue nyota ya uaminifu, mbakizie nyota ya demu wa kupiga kwa starehe tu.

Usije ukanegotiate lolote na huyo terrorist, mwanamke anaekuletea story za mimi nina marafiki wa kiume mbona wewe una marafiki wa kike ni mwanamke anaekuandaa kisaikolojia kuwa mbeleni atakuwa anagongwa kisela na wale anaokwambia ni marafiki wa kiume kwake.

Never ever ever accept or buy that bullshit, akikwambia hivyo chagua moja awe wa kupiga na kuacha baadae au umwambie hiyo kwako ni deal breaker na hamtawezana.
Huu ndio ukweli. Yaani huyo wee jipigie sepa zako
 
Back
Top Bottom