Wanawake na marafiki wa kiume

Wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao waliniambia hii kauli kuwa Wana marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake wenzao Sasa sijaelewa huwa wanajihami Ili siku ukikuta Wana mazoea na wanaume ujue kuwa walikutaarifu.

Sijawahi kuwa na mwanamke halafu aseme ana wakubali marafiki wenzake wa kike sababu eti Wana wivu.

Ila me sipendi hii kauli wanaoipenda kuitumia kwanini awe na marafiki wa kiume huu Ni utopolo.
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake....hawa viumbe hawapendani hatari...
 
Wengi watabisha
IMG-20211012-WA0000.jpg
 
Huwo ni ujinga. Tena mwanamke wangu asijeniambia huo upumbavu kabisa. Mimi marafiki zangu wakike kati ya kumi nishakula sita. Tena wanajilengesha wenyewe kabisaaa.... Wanaanza kukuletea story za jamaa zao yani na kama wamegombana na masela wao basi ujue utakula papuchi mpaka ukinai. Urafiki wa mwanamke na mwanaume ni sawa kuotesha miwa jirani na shule, italiwa tuu.
 
Back
Top Bottom