Mkuu kama mwanamke hakupendi au amepata mwingine atakupa hilo jibu hadi unakata na tamaa kabisaOhoooo, noma man aisee sasa urudi kwenye ukimwi ?

Jiongeze wewe!! Hivi unafikiri angekuambiaje kama amekuchoka.....Usishangae ukasikia ameolewa muda si mrefu.
hutakuja mpata muwazi hivyo, rudi kwake....Mkuu labda, lakin daah me nimejitoa