Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,095
Mkuu naomba number zake ..naweza kuwa mteja mwema kwake na mchapa kazi
Mkuu baada ya kuambiwa hivyo isije ikawa umeomba msamaha...maana mapenzi yana mengi
Nimependa approach yako. Hulalamiki ila unatoa fundisho au angaluzo. U are a real men we expect men to behave like. Grown up and smart. Muungano weekend Leo Kam upo dar nutafute nikupe unachokunywaga.
Kuwa Negative kila muda haiwezi kukusaidia chochoteUnatuonyesha chats au unataka kutuonyesha unajua kiingereza cha kwenye tamthilia
Mkuu ulikuwa una-date na Malaya anaejiuza barabarani? Maana kwenye screen shot anasema she makes money by having sex toughlendon_1
Shida hawataki kufanya kazi, wao wanaona ku*ma zao ni duka. Ukitaka kumsaidia mwanamke atleast mpe ajira mpe hela tena na tena.ila kama ni hurka pia utagonga mwamba tu
Mkuu baada ya kuambiwa hivyo isije ikawa umeomba msamaha...maana mapenzi yana mengi
Mkuu naomba number zake ..naweza kuwa mteja mwema kwake na mchapa kazi
Nakumbuka nilikuwa na mchumba mmoja akapata kazi ofisi ya bunge miaka ya 2008 akanileza kwa SMS yeye ameathirika hivyo nitafute mwingine nioe,nikamwambia poa haina shida nitafanya hivyo,matokeo ya miaka ya hivi karibuni anamsumbua dadangu patie namba yangu sijui ya nini nikamwambia Dada usimpatie
Unatuonyesha chats au unataka kutuonyesha unajua kiingereza cha kwenye tamthilia
Kifupi ni kwamba anajiuza. Sasa wewe si umnunue jumla mkuu?
Kuwa Negative kila muda haiwezi kukusaidia chochote
ok.....sorry mkuuMkuu mbona wewe una inferiority complex mimi nimeleta kama somo la kujifunza kingereza potezea mzee achana nacho mkuu
Nimependa approach yako. Hulalamiki ila unatoa fundisho au angaluzo. U are a real men we expect men to behave like. Grown up and smart. Muungano weekend Leo Kam upo dar nutafute nikupe unachokunywaga.
Huyo alikuwa hataki kuendelea na mahusiano na wewe, kwahiyo ametafuta sababu ambayo akikwambia huwezi waza mara mbili kuhusu kuendelea nae wala kung'angania, na amefanikiwa lengo lake.she was a decent woman sasa ameshasuck alot of lolipops hadi ananionea huruma, she is the one who told me
Anakujua kuwa huwa hupendi kushare na unawachukia watu wanaojiuza. Uliposepa alipata mwingine anayemfaa, angekuwa Malaya wa kujiuza ungezisikia tu, ila huyu ni muongo. Umewahi ona wapi mchawi anajisema? Hata wewe Leo hii ukimpata changudoa kanisani hawezi kukuambia biashara yake.
Huyu hakutaki tu na sio kweli kuwa alifanya / anafanya biashara hiyo
At least anajielewa