toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,553
- Thread starter
- #41
Ningemwambia anipe bei na mimi ili nikipata visenti na mimi nije kupasha kiporo.
Me siwez kumnunua na yeye anajua,
Ningemwambia anipe bei na mimi ili nikipata visenti na mimi nije kupasha kiporo.
ok.....sorry mkuu
Huyo alikuwa hataki kuendelea na mahusiano na wewe, kwahiyo ametafuta sababu ambayo akikwambia huwezi waza mara mbili kuhusu kuendelea nae wala kung'angania, na amefanikiwa lengo lake.
Aisee
Huyu amekuwa mkweli kwako, naamini anafanya kwa shida, ikiwa unampenda na unaweza kutoa huduma, huyu ni sahihi kuwa nae....
Mambo mazuri siku hiziHaina shida, haya mambo yakujifunza hayana fundi mkuu, leo kwangu kesho kwako, mfano tu wa kawaida sikuiz wake za watu wanatafunwa kilaini sana aisee sijui kwa nini , lakin huyu hakuwa mke alikuwa mwanamke wangu tu
Hebu niwekee namba yake pm,nawapendaga sana hawaBwana Bwana nlikuwa namhufumia vizur ndugu sasa sijui imekuwaje ? na nnachoshukuru ni kaniambia yeye mwenyewe kwamba nitulie maana saiv ye kasharukiwa na wahuni kibao, Nimemshukuru mungu kwa kuninusuru na hyo chain
Ndo hvyo amepata kwingine akaona asingizie hivyoAmetoa wapi guts za kusema hivyo? Najaribu kutazama katika angle nyingine, huwa ni vigumu sana kwa mwanamke ku admit kuwa yeye ni malaya. Huyo amepata mtu mwingine na anachohitaji ni kutoka kwenye himaya yako by any reason na akaona reason hiyo itakufanya uachie ngazi kirahisi. Karma is a bitch, siku moja huyo girl atarudi with different story hadi utashangaa.
[emoji3][emoji3]Mkuu baada ya kuambiwa hivyo isije ikawa umeomba msamaha...maana mapenzi yana mengi
Hebu niwekee namba yake pm,nawapendaga sana hawawadudusorry hawa watu
atleast you get something to think about...... Sio bure anataka kumtoa jamaa kilaini sana..... bila ya kua king'ang'aniziAmetoa wapi guts za kusema hivyo? Najaribu kutazama katika angle nyingine, huwa ni vigumu sana kwa mwanamke ku admit kuwa yeye ni malaya. Huyo amepata mtu mwingine na anachohitaji ni kutoka kwenye himaya yako by any reason na akaona reason hiyo itakufanya uachie ngazi kirahisi. Karma is a bitch, siku moja huyo girl atarudi with different story hadi utashangaa.
Nadhani kumuacha sio suluhu,
Kwanza ungemuuliza kwa nini anafanya hvyo, je ni hobby au shida ndo zinamsukuma kuuza k?
Kama jibu ni shida basi ungetafuta any means ya kumsaidia aondokane na hiyo biashara na kama ni hobby yake basi ndo ungemwacha. Thats how true love surppose to be
Ndo hvyo amepata kwingine akaona asingizie hivyo
ahahahaha vijana mna mambo na wewe unataka upite humo humo ilhali unaelewa anachokifanya....
Ametoa wapi guts za kusema hivyo? Najaribu kutazama katika angle nyingine, huwa ni vigumu sana kwa mwanamke ku admit kuwa yeye ni malaya. Huyo amepata mtu mwingine na anachohitaji ni kutoka kwenye himaya yako by any reason na akaona reason hiyo itakufanya uachie ngazi kirahisi. Karma is a bitch, siku moja huyo girl atarudi with different story hadi utashangaa.
atleast you get something to think about...... Sio bure anataka kumtoa jamaa kilaini sana..... bila ya kua king'ang'anizi
Thats it huyo wala hafanyi umalaya ila tu alitaka kukuacha na kaona akikupa hyo sababu hutopindua,,mm kuna mmoja alishawah kuniambia ana ukimwi kama mchangiaj mmoja hapo juu kumbe hana ukimwi ila tu alipata bwana akamzuzua kuwa atamuoa maana alikuwa ana shida sana ya kuolewa baadae jamaa likaoa demu mwingne ndo akarud kwangu ndo akaniambia ukwel wote kuwa hana ukimwi bali ilikuwa technique tu ya kuniacha akasema kama siamini tukapime na kwel kwenda kupima hamna kitu,basi mm wala sikumkatalia nikasema kama umeamua kurud poa ila nikamwambia kabsa mm nko na demu mwingne kama vip muwe wawili akakubali wala hajapindua asaiv nawatafuna wote wawl ila nitamuoa mwenzake yy atasubiri sanaaHuyo alikuwa hataki kuendelea na mahusiano na wewe, kwahiyo ametafuta sababu ambayo akikwambia huwezi waza mara mbili kuhusu kuendelea nae wala kung'angania, na amefanikiwa lengo lake.
Yeah no need to hate herHahaha basi me namwombea mema, no need to hate on her...
Thats it huyo wala hafanyi umalaya ila tu alitaka kukuacha na kaona akikupa hyo sababu hutopindua,,mm kuna mmoja alishawah kuniambia ana ukimwi kama mchangiaj mmoja hapo juu kumbe hana ukimwi ila tu alipata bwana akamzuzua kuwa atamuoa maana alikuwa ana shida sana ya kuolewa baadae jamaa likaoa demu mwingne ndo akarud kwangu ndo akaniambia ukwel wote kuwa hana ukimwi bali ilikuwa technique tu ya kuniacha akasema kama siamini tukapime na kwel kwenda kupima hamna kitu,basi mm wala sikumkatalia nikasema kama umeamua kurud poa ila nikamwambia kabsa mm nko na demu mwingne kama vip muwe wawili akakubali wala hajapindua asaiv nawatafuna wote wawl ila nitamuoa mwenzake yy atasubiri sanaa