Ndugu Zangu hebu tuwaambieni Ukweli dada zetu wanaoamini katika Make up, kwamba inaongeza uzuri na mvuto.
1.Akikuegemea na uso kama una shati jeupe basi utakuwa kama umejiburuza ukutani.
2.Hawezi kucheka kwa uhuru, anacheka kizungu plus kujifuta futa na tishu
3.Akijisahau tu akapitisha mkono kujifuta Uso basi anakuwa kama kalambwa na ndama.
4. Inakuwaje Sura na mwili havifanani rangi?
5.Napenda natural skin, Yaani Mdada mwenye ngozi yake isiyo na ma cream..
Kwa kifupi Hakuna kinchonivutia na HIZO MAKE UP..
Mwanaume mwenzangu Wape ushauri dada zetu... Wanapendeza hawapendez?