Wanawake na magari

Sasa hapo aliyetoka povu nani kati ya mimi na wewe? Nadhani umenierewa!
 
Last edited by a moderator:
Tena wivu kama wa sh... we si unaona huyo aliyeuliza umehongwa?hivi kuna mwanaume anayeonga gari tz ya leo?me nachujua wadada wanapewa tu ya kutembeleaa bila card.Hapo kwenye saa hahhah ngoja nisiseme zaidi
Gari zinahongwa kila siku Tz hiii..

Mi nimetoka kumpa dem wangu vitz nimenunua used ya 5m, ukoo wao wote wananiona mi mungu mtu!
 
Or perhaps I would have made my own car exclusive for me to attract women.

Yaani ungewapata wengine mie wala maana bila kunishurutisha panapo 6*6 hata uje na air force one walaaah sikuoni kama mwanaume naweza hisi ni shosti mwenzangu tuu, ndo nilivyo.
 
ni kwel madem weng sana wanapenda magar, mm nilkuwa na kadem kangu tunapendana tu kiana mara akatokea jamaaa ana gar mara amtoe out na gar, mara amfundishe kuendesha gar mwisho wa ck nikaaachwa kweny mitaaaaaaa
 
pole sana
 
Wheelchairs siyo kwa ajili ya waliovunjika miguu au kukatwa mtama tuu.

Wheelchairs zinatumika pia na watu ambao viuno vyao havina ushirikiano na miguu kutokana na sababu mbalimbali.

Hebu mcheki Lady Gaga on her lavish gold plated wheelchair.

huyu nae aligegedwa hadi akawa migulu baja au simama dede? kutembelea wheel chair baada ya kugegedwa hainogi inatakiwa utembee simama dede ili ukandwe vizuri na huyo mgegedaji, akikuletea wheel chair hafai huyo maana ni mvivu wa kufanya massage na kukanda hafai huyo.
hata hivyo vituko vya huyo msanii vimeshashindikana, lady gaga.
 
Yaani ungewapata wengine mie wala maana bila kunishurutisha panapo 6*6 hata uje na air force one walaaah sikuoni kama mwanaume naweza hisi ni shosti mwenzangu tuu, ndo nilivyo.

Well, kama nitawapata hao wengine, would I still be bothered chasing you?

I am sure most men would prefer a woman who can have a marathon sex and still walk.

Wengine we prefer doing it before going to events na siyo baada ya kutoka huko.

I can't imagine naongozana na wewe kwenye special event huku ukitembea pole pole kisa hakuna network kati ya kiuno na miguu eti kwa sababu ya sex.

I will better go on my own ukizingatia kuna uwezekano mkubwa wa kumpata mwingine hapo barabarani as I will be in my car anyway.
 
heheheheheheheheeeee nimecheka vya kutosha naenda lala nowits enough for today, kumbeeeee ndio maana ...............................
ok nshajua sababu, haya bana kila la kheri na sex marathon girls wako looh
 
gari lako linanihusu nini hadi nikupende???!!! lol.
 
heheheheheheheheeeee nimecheka vya kutosha naenda lala nowits enough for today,

Umecheka vya kutosha?

So, I was here to amuse you like clown?

OK, then nitakuwepo hapa kesho pia.

So, don't forget to tip your computer on this thread.

But it will all depend kama kucheka kwako vya kutosha hakujaharibu network ya kiuno chako na miguu maana as you know I'm always in my car. lol.
 
hahahahaaaaa umeanza as usual daaah!! u know what, one day I will trap you with a glass of wine mixed with amarula no wonder dreads zako zote zitakatika heheheheee ntachekaje with ur new look face.
Unaanza kunipa wasiwasi na hiyo am always in my car, miguu haifanyi kazi nini badala ya wewe kumtembeza mwanamke migulu baja wewe ndo umetembezwa migulu baja hata you are always in your car? doooh pole sana itakuwa hao wanawake unaowaokota barabarani ndo wanakutengua kiuno na kukufanya migulu baja ati unaacha mwanamke home kisa umemgegeda hadi anatembea simama dede na umeshindwa kwenda nae kwenye function ona sasa hao wa barabarani walivokufanya, poleeee.
 
Reactions: EMT
gari lako linanihusu nini hadi nikupende???!!! lol.

Kama gari halikuhusu basi siku ukinikuta na hii bodaboda yangu lazima utanipenda tuu.

Kama na pikipiki nayo haikuhusu basi ..... (soma hapo kwenye tanki la mafuta). lol.

We umeweza kulinunua haina shida, wale ambao hawaoti wala kuwa na bajaj ndo wanaongelewa,ht lenye no za ubalozi wao hawajali ilimradi gari
 
Last edited by a moderator:
Kama gari halikuhusu basi siku ukinikuta na hii bodaboda yangu lazima utanipenda tuu.

Kama na pikipiki nayo haikuhusu basi ..... (soma hapo kwenye tanki la mafuta). lol.

Tartibu ngosha, c vema kumwambia binti mrembo aka(jina la bike) otherwise hahahahaaaa ahahaaaa
 
Reactions: EMT
hahahahaaaaa umeanza as usual daaah!! u know what, one day I will trap you with a glass of wine mixed with amarula no wonder dreads zako zote zitakatika heheheheee ntachekaje with ur new look face.

Umenikumbushia his clip.

[video=youtube_share;E84VqqCPI7w]http://youtu.be/E84VqqCPI7w[/video]
 
Kama gari halikuhusu basi siku ukinikuta na hii bodaboda yangu lazima utanipenda tuu.

Kama na pikipiki nayo haikuhusu basi ..... (soma hapo kwenye tanki la mafuta). lol.

hhhhhhhhaaaaa!!!! ila wanaume wengi wakishakuwa na magari basi wanaona ndio wanapendwaaaa!!! ila sio kosa lao. ujue magari ya kuyakuta ukubwani na ndio shida ila wapo watu wanaona ni sehemu ya hitaji la binadamu la kawaida kabisa. mi nakupenda tu vile ulivyo!!! lol.
 
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…