Wanawake na Magari!

Mkuu hujanijibu sasa wakati anamletea mme wake nyodo...huyo Mme wake alikuwa anausafiri au hana kabisa?
Kama alikuwa nao ni wa aina gani?usikute alikuwa hana usafiri...
Mumewe usafiri alikuwa nao kuzidi wa mkewe
 
Kwangu mimi, the most best cars are:

1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
Passo vp haimo?
 
Mimi Nafikiri hii inategemea Kwa mfano Unakuta Mwanamke ana gari Vitz Au Paso halafu Mimi nina Rav 4 sasa jeuri itaanzia wapi?
Wanawake achana nao kabisa. Atakubembeleza wewe utumie vitz yeye awe na hiyo Rav4
 
Kuna hoja nzuri hapa. Kina mama ni lumbukeni wa magari japo huyachoka haraka sana kutoyapenda tena wakishayapata. Hii ni kinyume kwa wanaume, kadri anavyookaa na gari ndivyo anavyolevya na kushindwa kabisa kuliacha gari
 
Kwangu mimi, the most best cars are:

1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
mh hizo ni comfort si ndio....
 
Mchawi ni huyo jamaa kutomnunulia gari mkewe..
 
Kuna hoja nzuri hapa. Kina mama ni lumbukeni wa magari japo huyachoka haraka sana kutoyapenda tena wakishayapata. Hii ni kinyume kwa wanaume, kadri anavyookaa na gari ndivyo anavyolevya na kushindwa kabisa kuliacha gari
Yaan umejuaje nami nimeichoka nataka nyingine kabisa.
 
Mwanamke akishakuwa na uchumi mzuri ndivyo walivyo.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…