Wanawake na Kuhudumiwa

Wanawake na Kuhudumiwa

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
Kwa Hivi Sasa katika Jamii kumekua na maongezi au Maneno mengi kuhusu wanawake kuitaji Kuhudumiwa.
Kijamii za kiafrika, mwanaume napaswa kuihudumia Familia yako.
Na mwanaume unatakiwa kutoa mahari ya kuoa mke na kumtunza/ Kuhudumia.
Kwa sasa Hivi Vijana Wengi wanapitia katika hali mbaya ya kiuchumi, Huwenda Bado ajapata kazi au Biashara ni ndogo Bado haijakua kubwa au mzunguko wa Biashara haukidhi kutoa Faida kubwa ambayo itamudu Kuhudumia watu wawili.
Kwa mwanaume kuingia katika Uhusiano wa Kimapenzi na mwanamke wakati uchumi wako sio mzuri, ni lazima mwanamke atalalamika anakosa huduma.
Mitazamo ya mwanamke kuhusu Uhusiano wa Kimapenzi ni yeye Kuhudumiwa kwa 100% apate mahitaji Muhimu kama Kodi, pesa, za chakula, na simu nzuri ya Gharama na Vocha, pia huyo mwanaume awe Romantic.
Kwa mwanaume/kijana ambae Bado anajitafuta Kua na Uhusiano wa Kimapenzi na mwanamke ni changamoto sana lazima utarudi nyuma maana kutimiza mahitaji ya mwanamke Kuna Hitaji pesa nyingi.
Mapenzi ni Biashara, Kuna itaji uwekezaji wa pesa na Muda.
Ukitazama mchezo wa pesa ni namna ya kucheza na soko Ili uzalishe pesa, kupitia pesa,
Kwa mwanamke Uhusiano ni Biashara ambayo anaitazama kwa kumtaturia Matatizo yake ya kiuchumi.
Kwa nadharia nyingine mwanamke anayatazama mahusiano ya Kimapenzi kama Sehemu ya kupatia Fedha za kupunguza ukali wa Maisha.
Pesa ya mwanaume ni pesa ya jamiii Yote, lakini pesa ya mwanamke ni ya kwake peke yake .Utakapo amua kutumia pesa na Nguvu zako zote Kufurahisha mwanamke au kuihudumia kwa 100% ni lazima uchumi wako utayumba pesa Inaitaji Nidhamu kubwa sana.
Pia pesa Inaitaji kuheshimiwa, maana pesa unayowekeza kwa mwanamke, ni kama kutumia Nguvu kufukia bahari kwa mikono.
Swala la Kuhudumiwa kwa mwanamke limekaa kama mtego,
Hakikisha una muhudumia mkeo. lakini kaa ukijua kua mwanamke Hana shukrani na mwanamke Hana kumbukumbu na wema ulio wahi kumtendea.
Kumuhudumia mwanamke sio guarantee kua ndo ataridhika na huduma yako.
Huuu mtego wanawake kuitaji Kuhudumiwa lazima uutazame kwa umakini Ili usifanye Jambo ambalo litakugharimu katika Maisha.
Note: Sipingi Kuhudumia Mke/ Mchepuko. Ila Hudumia kwa Mahesabu, na Akili kumkichwa.
"Kuhudumia mwanamke ni mtego wa kibiashara kupitia K ya mwanamke"
 
😀😀😀😀kama huwezi kuhudumia bora ukajiunge CHAPUTA
 
Tafuta hela mkuu
Hayo malalamiko hutakua nayo
 
Back
Top Bottom