Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari vp wanajamii forum,kombe la dunia ndio hilo najua wanawake wetu wengi hawapendi mpira kwa hiyo mapenzi lazima yapungue kidogo maana utaona mista yuko bize na rimoti hakuna maria clara,sijui alejandro,cjui na nani wengine wa kuigiza