Kwahiyo swala bado linabaki palepale kuwa wote tunajitizama ila tunazidiana,right?
Kwendeni zenu........
sio wote
vipo vidume havijitazami kabisa
mzima wewe lakini?
Kwahiyo swala bado linabaki palepale kuwa wote tunajitizama ila tunazidiana,right?
mtuache tulaaleee
Mtambuzi umewachokoza ngoja niwaite na wengine hapa waje Madame B na Zinduna na Passion Lady na Paloma na Mamndenyi na cacico na gfsonwin na Blaki Womani na amu na Mwalu na Dena Amsi na snowhite na sweetlady na charminglady na ladyfurahia na Chocs na marejesho na Zion Daughter
Unaakili sana mny nyani haoni kalioleee
sio wote
vipo vidume havijitazami kabisa
mzima wewe lakini?
Dah huyo asiyejitazama kabisa....nimemkosea jibu
Buheri wa afyaa...hof kwako
poa poa
Hivi wanaume huwa hawajitizami?
Weee! Tukome, tujiangaliea wapi sisi ni watu wa kazi