Wanawake na Kioo.....!

huwa kila baada ya lisaa unageukia kioo
 
Kiti cha abiria kile kioo cha juu pale kila siku nagombana na wife. LAZMA akifungue na kukiacha!! Sijui wana shida gani
 
Reactions: Paw
naona mmeanza masingamo ,... mtuacheni tujiangalie loh!!!!!!!!!!!!!!!! mnaona wivu basi ... wanaume na.............................................................................njoo malizia hapaTigga Mumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…