Wanawake na imani za kishirikina katika mapenzi

Wengi huamini kuwa kuna dawa za mapenzi.na katika kufanya hivi wengine wamewasababishia wenzi wao matatizo vikiwemo vifo.mimi nawashauri wanawake wanaotumia ushirikina kwenye mapenzi waache mara moja.kama kuna matatizo kwenye ndoa zao wamuombe MWENYEZI MUNGU atawasidia.

Hivi kwa nini wanawake wengi hasa wa kiafrika wanaongoza kutumia ushirikina ili kurutubisha mapenzi.? Je ni kwamba hawajiamini wawapo katika mahusiano au ni kasumba waliyojijengea..? Maoni please.

Kuna mdada alinipulizaga nikawa haidindi,yani nikiwa na wengine hata wainyoje vp network haipandishi mnara,ila kwake nikiguswa tu kidogo mzee anasimama kama kuni kavu,ikabd nimfuate na ndugu zangu kumuamshia zengwe,kuja kukubali kunirudishia ikabidi aniite chumban kwake,akatoa kondom tuliyowai itumia na ilikua na manii ndani ila ilikua imefungwa fundo,akaifungua ila kondom ilikua na rangi ya njano,akamwaga chin af kuna maneno akayasema,basi tokea cku iyo nikawa napiga mechi dunia mzima.

Hivi kwa nini wanawake wengi hasa wa kiafrika wanaongoza kutumia ushirikina ili kurutubisha mapenzi.? Je ni kwamba hawajiamini wawapo katika mahusiano au ni kasumba waliyojijengea..? Maoni please.

Any evidence that African women are more superstitious on love than other races...??? Or just here say?

Kuna mdada alinipulizaga nikawa haidindi,yani nikiwa na wengine hata wainyoje vp network haipandishi mnara,ila kwake nikiguswa tu kidogo mzee anasimama kama kuni kavu,ikabd nimfuate na ndugu zangu kumuamshia zengwe,kuja kukubali kunirudishia ikabidi aniite chumban kwake,akatoa kondom tuliyowai itumia na ilikua na manii ndani ila ilikua imefungwa fundo,akaifungua ila kondom ilikua na rangi ya njano,akamwaga chin af kuna maneno akayasema,basi tokea cku iyo nikawa napiga mechi dunia mzima.

Do, hii kali, pole sana

Nafikiri wanaofanya hvyo huwa hawajiamini na nahisi wao wanakuwa hawajapenda kiukweli.
Sijajua wanajisikia vipi wanapojua wanapendwa kutokana na madawa wanayofanya.
Hivi dawa zozote si huwa zinaexpire?

Swala jingine ni kwa kuwa usipomdhibiti wako na wajanja wakamwahi, basi umekula wa chuya! Ndio maana wanaume mnalishswa madawa (malimbwata) ili msiruke, msiende kuonya nje na kunaswa huko!

Nimeshasikia (sina hakika) kuwa wanawake wanaloga ili wapendwe. Ila hizo ni story za uswahilini. Hence naomba ni conlude kuwa ni mchanganyiko wa wivu na dependecy. Unakuta ni wale wamama ambao ndoa kwao ni zaidi ya penzi bali pia ni ajira. Sasa akifikiria kutoswa anakuwa tayari kujiprotect kwa means zozote zile.

Nitashangaa nikiona independent woman anaenda kwa mganga kumloga mumewe. Kama love imeisha basi unachapa lapa!

Back
Top Bottom