Wanawake na imani za kishirikina katika mapenzi

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Hivi kwa nini wanawake wengi hasa wa kiafrika wanaongoza kutumia ushirikina ili kurutubisha mapenzi.? Je ni kwamba hawajiamini wawapo katika mahusiano au ni kasumba waliyojijengea..? Maoni please.
 
Hiyo ni dhana tu,sio kweli kuwa wanajihusisha na uchawi,kama wapo ni wachache sana!
 
Da. Wewe umejuaje kuwa ni washirikina. Maana haya mambo ni ya kusikia sikia zaidi. Na wanaume baadhi tunasikia wanatumia mapepo kupata ela. Kama ni kweli ni kwa sababu ushirikina upo afrika ndio maana unatumiwa. Huko kwengine duniani hawawezi kutumia kitu ambacho hawana.

Hivi kwa nini wanawake wengi hasa wa kiafrika wanaongoza kutumia ushirikina ili kurutubisha mapenzi.? Je ni kwamba hawajiamini wawapo katika mahusiano au ni kasumba waliyojijengea..? Maoni please.
 
naweza kubaliana na bab key kwamba ni wivu na ktojiamin. But hyo(ushirikina) ndo suluhu ya mambo?
 
nyumbakubwa na eiyer, wanawake wanaonekana kuwa wateja wakubwa wa kalumanzilas, madai yao eti wanafanya hvo ili wasiachike.
 
Dunia ina pande kuu 2.
1. Mungu wa kweli- Hapa hakuna ushirikina.
2. Lucifer Hapa ndo kwao.

Binadamu yeyote lazima aangukie sehemu mojawapo.

Ukiona mwanamke/mwanaume anaamini ushirikina inamaana hamuamini Mungu wa Kweli na Mwanae wa pekee.
Watu wengi wanaenda njia pana- hawamuamini Mungu.
So wanawake/wanaume wapo wanaoabudu ushirikina kwa sababu zao, hasa kupata shortcut bila jasho.
Mwenye mume hataki kutimiza wajibu ili ndoa iwe na amani, anataka ije by any means.
Mfanya biashara anataka matokeo ya ghafla...
Ndo dunia hii.............
 
Nafikiri wanaofanya hvyo huwa hawajiamini na nahisi wao wanakuwa hawajapenda kiukweli.
Sijajua wanajisikia vipi wanapojua wanapendwa kutokana na madawa wanayofanya.
Hivi dawa zozote si huwa zinaexpire?
 
ni kuto jiamin mana hawajiamin katka mapenz yan katka mahusiano ya kimapenzi mana asilimia kubwa hawana himan ya kumwamini aliye mpenda na hyo ndo sababu ya wao kutumia ushirikina katka mahusiano. Lingine ni ushaur mbovu wanao shauriana wao kwa wao na hyo ndo sababu haswa kutumia ushirikina pia kwenye mahusiano
 
Kwa asilimia kubwa wanamama wanaookoka huwa wanatoa ushuhuda kuwa walishakwenda kwa waganga na sababu kubwa ni kuassume control over men

na katika hili,7/10 huwa wanakubali kuhangaika kwanza kupata yale wanayoyataka,matatizo yao ni,kukosa mtoto,kukosa mme,mme kutotulia,kuhisi hapendwi,kuhisi anadharaulika,kunyanyaswa na ndugu wa mme,na kutokujiamini,n.k,

mwanzo huvumilia,baadae uanza safari za kwa babu na huko ikishindikana ndo uamua kwenda kwenye maombi ambapo mme naye huingizwa kwenye maombi na hatimaye kuokoka,mama upata peace na kusettle.kwa taharifa tu ni kwamba wanaume walio wengi hupelekwa kuokoka kupitia kwa wake zao

mimi sina PhD hvyo msihoji sana ila haya ni kutoka kwenye uzoefu wa mitaani na makanisani
 
hivi kwa nini wanawake wengi hasa wa kiafrika wanaongoza kutumia ushirikina ili kurutubisha mapenzi.? Je ni kwamba hawajiamini wawapo katika mahusiano au ni kasumba waliyojijengea..? Maoni please.

hakunaga ushirikina hapa duniani. Ni imagination tu
 
Huwezi kujua ushirikina wa mtu mpaka na wewe uwe mshirikina tu
 
Back
Top Bottom