Wanawake na changamoto za kileo

Ata wanaume wanachangamoto sana. Ana msululu wa mademu ila wa kuoa hamuoni.

hili hakuna mwanaume atapindua mkuu, you are absolutely right.
 

Yaani tumekwisha...!
Mtu anaambiwa hauko peke yako lakini yupo tu. Mie sielewi baadhi ya vidume wenzangu
 
Yaani tumekwisha...!
Mtu anaambiwa hauko peke yako lakini yupo tu. Mie sielewi baadhi ya vidume wenzangu

hitaji lako ni glass moja ya maziwa, ya nini ufuge ng'ombe uhangaike na adha zote za ufugaji?
 

ila huu ukweli unaboa?!! Nikifikiria hapo tu nachoka kabisa
 
Mkuu umesahau na changa moto za wanaume.
.Unamhonga na yeye anahonga anakokujua.
. Unaamua kumuweka ndan lakn anaenda kuzaa na mwanaume mwingne na anakuuzia mbuz kwenye gunia
 

sure,,,,
 
Ni ukweli mchungu huo ila hata nyie wanaume mna changamoto.....hata wewe unaweza ukawekeza kwa mwanamke ukijua huyu ndo mama watoto unakuja kupata breaking news anaolewa na mtu mwingine
 
kuolea ni matokeo ya mwanamke kujiheshimu la sivyo utaendelea kuwa girl friend material
 
Dunia yaleo changamoto ni kwawote tu si wanaume wala wanawake, ila wahanga wakubwa ni wanawake kutokana na biology yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…