Wanawake na changamoto za kileo

Wanawake na changamoto za kileo

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Kuna wakati mimi kama mwanaume huwa nawahurumia sana wanawake, wanachangamoto nyingi na hasa hii ya mahusiano, hawana uamuzi wa mwisho, hata katika kuolewa mara nyingi anayefanya maamuzi ni mwanaume, mambo mengi mwanamke yeye anasikilizia tu matokeo, kama mchezo wa kubahatisha vile, unakuta mwanaume ana wanawake wengi, akitaka kuoa anaanza kuchambua, wakati huo mwanamke anadhani yeye ndo chaguo la kwanza kumbe la mwisho, poleni sana kina dada.

Leo nataka kuongelea changamoto ya kushiriki tendo la ndoa, inatokea mwanamke anatongozwa anakubali ila ikifika hatua ya mwanaume kutaka mavituzi hapo ndo mtihani unapokuwa kwa mwanamke, anabaki akiwaza nimpe au nisimpe, nikimchelewesha kuna wanawake wenzangu wao wanatoa tu na wengine hadi wanajiuza, nikimbania nitakuwa na uhakika gani hatapata mwanamke mwingine akampa?

Mwisho anaamua kumpatia mwanaume mlaghai tu kwa kuhofia akibana sana wenzake wanatoa, inakuwa kama mashindano, wewe ukikazania kuuza kwa bei ya juu wenzako wanapunguza bei.

POLENI SANA WANAWAKE.
 
ha ha ha u ar misteken
nyie wenyewe mepangwa kwa folenn simtank hadi vidumu
tanesco,jenereta hadi mishumaa

unafkiri kiwango unachopewa cha papapuchi na mpenzio sawa na mwingine anavyopewa/??
anavyokuzugusha jua wenzio wanapewa free
anahonga wenzio wanapewa bure kisa aanamfikisha

kuna dume la outing..la pesa...la kupewa gegedo...achaa kabisa hii mambo

labda looser kwenye kuolewa mkuu
 
Ata wanaume wanachangamoto sana. Ana msululu wa mademu ila wa kuoa hamuoni.
 
Nilimskia rafiki akisema mie sionji tena hadi nipate wa kuoa lakin siku iyo iyo akaanguka dhambini.
 
ha ha ha u ar misteken
nyie wenyewe mepangwa kwa folenn simtank hadi vidumu
tanesco,jenereta hadi mishumaa

unafkiri kiwango unachopewa cha papapuchi na mpenzio sawa na mwingine anavyopewa/??
anavyokuzugusha jua wenzio wanapewa free
anahonga wenzio wanapewa bure kisa aanamfikisha

kuna dume la outing..la pesa...la kupewa gegedo...achaa kabisa hii mambo

labda looser kwenye kuolewa mkuu

Aiseee!.....kweli kweliii!!...

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Toa na changamoto za wanaume, mimi naamini kuwa na wanaume nao wanachangamoto.Mfano hata uwe mhuni vipi hata kama ulidanganya wasichana wangapi,inapofika suala la kuoa lazima uchanganyikiwe tu maana unawaza hivi Amina akija kanisani kuzuia ndoa yangu itakuweje?Hivi mke wangu akijua kama nilikuwa natembea na machangu itakuweje.Lazima pia ukubaliane na mimi kuwa kwa mwanaume ambae akili yake ipo sawasawa lazima na yeye ana changamoto zake katika mahusiano
 
Ata wanaume wanachangamoto sana. Ana msululu wa mademu ila wa kuoa hamuoni.

Wee unanisema.
Mi mwenyewe nimewapanga lakin kati yao sioni mwenye afadhali. Ikabidi nimuulize msure yeye alipataje?
jibu "mwanangu nakuone huruma kwamba kwa kizazi cha sasa hutokaa upate mke mzuri kama mi nilivo mpata mama yako"
Nimeamua kuwa muonjaji na kusepa, manake sasa hadi msure kaona hilo.
 
ha ha ha u ar misteken
nyie wenyewe mepangwa kwa folenn simtank hadi vidumu
tanesco,jenereta hadi mishumaa

unafkiri kiwango unachopewa cha papapuchi na mpenzio sawa na mwingine anavyopewa/??
anavyokuzugusha jua wenzio wanapewa free
anahonga wenzio wanapewa bure kisa aanamfikisha

kuna dume la outing..la pesa...la kupewa gegedo...achaa kabisa hii mambo

labda looser kwenye kuolewa mkuu
Ooh my..!
 
SERA YA MAPENZI kwa vipindi tofauti..!

MIAKA YA:
1986-1990.
NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!

MIAKA YA:
1991-1995.
NIMEKUBALI lakini namwogopa Baba na Mama watajua..!

MIAKA YA:
1996-2000.
NIMEKUBALI lakini sitaki kufanya mapenzi mpaka unioe..!

MIAKA YA:
2001-2005.
NIMEKUBALI lakini tutumie condom..!

MIAKA YA:
2006-2010.
PESA yako tu, maneno sitaki..!

Balaa iko hapa...!

MWAKA:
2011-2015.
NIMEKUBALI lakini haupo peke yako..!

Asalalee..!
TUMEKWISHA.
 
Hahahahaha poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Wewe umempanga na yeye kakupanga vile vile tena zaidi yako.
Mfano tu.
1. Wewe una mnunulia demu simu, mwanaume mwenzio ana mtumia vocha
2. Unamrushia demu SMS love yeye anafoward kwa mwanaume mwenzio
3. Unamnunulia demu wako chupi mwanaume mwenzio anamvua
4. Unamuomba mfanye mapenzi japo kwa dakika kadhaa, mwenzio ana bembelezwa na demu wa kalale mpaka asubuhi hahahahahahahhah mpaka hapo nyie pia mnachangamoto:A S wink:
 
Kazi ipo, kwa hiyo na nyinyi mmetangaza vita? ila mtashindana lakini mwisho mtashindwa nyie.
 
Hahahahaha poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Wewe umempanga na yeye kakupanga vile vile tena zaidi yako.
Mfano tu.
1. Wewe una mnunulia demu simu, mwanaume mwenzio ana mtumia vocha
2. Unamrushia demu SMS love yeye anafoward kwa mwanaume mwenzio
3. Unamnunulia demu wako chupi mwanaume mwenzio anamvua
4. Unamuomba mfanye mapenzi japo kwa dakika kadhaa, mwenzio ana bembelezwa na demu wa kalale mpaka asubuhi hahahahahahahhah mpaka hapo nyie pia mnachangamoto:A S wink:

makubwaaa, sikujua, hahaha.
 
Unaongelea wanawake gani?
Hawa wa fifty fifty? Ambao hawaonj tabu kumfungukia mwanaume? Kuwa wanampenda au wanataka game?

Hawa wa siku hizi ambao wameqapanga wanaume 3, 3?

Mmmh
 
SERA YA MAPENZI kwa vipindi tofauti..!

MIAKA YA:
1986-1990.
NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!

MIAKA YA:
1991-1995.
NIMEKUBALI lakini namwogopa Baba na Mama watajua..!

MIAKA YA:
1996-2000.
NIMEKUBALI lakini sitaki kufanya mapenzi mpaka unioe..!

MIAKA YA:
2001-2005.
NIMEKUBALI lakini tutumie condom..!

MIAKA YA:
2006-2010.
PESA yako tu, maneno sitaki..!

Balaa iko hapa...!

MWAKA:
2011-2015.
NIMEKUBALI lakini haupo peke yako..!

Asalalee..!
TUMEKWISHA.

watakaobaki wana moyo.
 
Unaongelea wanawake gani?
Hawa wa fifty fifty? Ambao hawaonj tabu kumfungukia mwanaume? Kuwa wanampenda au wanataka game?

Hawa wa siku hizi ambao wameqapanga wanaume 3, 3?

Mmmh

hao hao mkuu, wanajaribu ila bado hawajaweza.
 
Toa na changamoto za wanaume, mimi naamini kuwa na wanaume nao wanachangamoto.Mfano hata uwe mhuni vipi hata kama ulidanganya wasichana wangapi,inapofika suala la kuoa lazima uchanganyikiwe tu maana unawaza hivi Amina akija kanisani kuzuia ndoa yangu itakuweje?Hivi mke wangu akijua kama nilikuwa natembea na machangu itakuweje.Lazima pia ukubaliane na mimi kuwa kwa mwanaume ambae akili yake ipo sawasawa lazima na yeye ana changamoto zake katika mahusiano

kweli kabisa mkuu, umenisaidia kutoa na za wanaume.
 
Back
Top Bottom