miwani yangu imeisha charge, ngoja niiweke kwenye charge kwanza ili niangalie vizuri.Mkuu huoni kama anachoma pembeni mwa hips.?? Au huna miwani mkuu?
alafu alopiga picha hii hovyo kabisa, sasa kasimama upande gani huu? angesimama upande ule wa kule ili tumuone dakitari vizuri.Nani aliwaambia wanaume wanataka makalio makubwa??? Endeleeni tu kukuza makalio. Unafikiri wanaume wanataka wanawake wenye makalio makubwa kwa ajili ya vivutio vya utalii
[emoji4] love youMmmh..yataka moyo mie akaah! Km huna huna tuu tabu yote ya nini kutiwa lisindano lote Hilo
Wanawake wenzangu hawa viumbe(wanaume ) kuwaridhisha ni ngumu tusijitese kwa kiasi hichi
Mungu tusaidie
[emoji3]Mmh aisee hakuna watu vigeu geu kama wanaume. Mara inye kubwa ndio mpango mzima. Saiv tena unasema vingine
makalioniAkili za wanawake wa aina hii sijui ziko kwenye kiungo gani cha mwili
nikiangalia video hii napata headache aghrrr ukitoka hapo unakaa utande upandeNani aliwaambia wanaume wanataka makalio makubwa??? Endeleeni tu kukuza makalio. Unafikiri wanaume wanataka wanawake wenye makalio makubwa kwa ajili ya vivutio vya utalii.
Daktari akimuongezea makalio MTEJA wake
.
Nimeogopa kuiweka video baada ya kufanyiwa procedure.
mmh[emoji4] love you
sio kweli mbona tupo tunaopenda flat screen sema ujinga wa baadhi ya wanawake kuto kujiamini vile walivyoWanaume ndo wakulaumiwa, yaan wanasababisha wanawake wanakua km vichaa.
Mungu anawaona