lengo ni ili ipigwe upepo mkuu.Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua.
Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu.
Ulipofika wakati wa mahubiri, wote tukiwa tumekaa, mmoja wa wale wadada waliokaa mbele yangu akainama kama analalia magoti.
Kumbe sketi aliovaa ilikuwa imeshuka na tisheti yake ikajivuta kwa juu.
Ilikuwa kasheshe, bahati mbaya kabisa, pembeni ya sehemu niliyokaa kulikuwa na watoto na nyuma yangu zaidi kulikuwa na watu wazima walioona hiyo kadhia.
Mbaya sana kwakweli..
huko huwa hawafiki?Sipendi hii kitu,wanatukwaza sana hawa,mie ndio maana sikuhizi nikiingia church nakaa pembeni kabisa upande wa madirisha,maana usipoangalia mpaka misa inaisha hakuna uliloambulia...
Kule pembeni huwa hawaji mkuu nani atawaona,wanataka huku njiani njiani ambako wanajua wataonesha vituko vyao..huko huwa hawafiki?
Sipendi hii kitu,wanatukwaza sana hawa,mie ndio maana sikuhizi nikiingia church nakaa pembeni kabisa upande wa madirisha,maana usipoangalia mpaka misa inaisha hakuna uliloambulia,Mshindwe kabisa...
Aahh nawe ulienda mbali sasa mkuu mpaka ukaona na shepu?siku nyingine ikitokea vile unatakiwa ufumbe macho na kuanza kukemea..Mwenyewe nilikaa pembeni kabisa, kwenye dirisha.
Wanaume tuna majaribu mno, halafu ana shepu nzuri sana msichana yule.