Wanawake muwe mnaeleweka mnataka nini hasa

mind ur business

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
416
Reaction score
417
Habari wanajamvi.

Juzi Kati nilileta infor humu kuhusiana na mwanamke nilietaka kumuoa,
Mambo aliyo nifanyia na mpaka ikabidi suala la ndoa life,
Yeye aendelee na maisha yake na Mimi na maisha yangu.

Japo kuwa alibaki na mtoto wangu. Mimi niliamua kukaa kimya kabisa.
Sababu nikishatoka Tena kwa style hiyo aliyo nifanyia kutaka kunichonganisha na ndugu zake.
Niliondoka mazima katika maisha yake na nikasema abadani sitothubutu Tena kurudi na hata kumtext Wala kumpigia simu.

Nashukuru Hilo nilifanikiwa.
Sasa mwezi was tano tangu uanze kumekuwa na missed calls nyingi Tena za mfululizo.

Kwa bahati mbaya nilikuwa sipokei simu hizo...Bali nilikuwa naishia kuuliza WEWE NANI?
Cha kushangaza text hiyo ilikuwa haijibiwi.

Sasa juzi Kati hapa namba hiyohiyo ikanitumia ujumbe mfupi wa maneno ukisema..,.

."Hello sir ulikuwa unajisifia kuwa unaoa, vipi umeshaoa au hela ya shela umekosa"

Nilifahamu Ni yeye kutokana na maneno sir, unajisifia na kuoa.

Sanabu Ni kuwa nilipoachana nae nilifuta kila kitu.
Na sikumwambia kitu chochote Wala kumtukana ama kumtambia Jambo baya.

Nakumbuka tu kipindi anazingua kwa maneno ya kejeli mm niliishia kumwambia kuwa....

"Ubaki ama uondoke bado Mimi maisha yataendelea tu na haimaanishi ukiondoka nitakosa wa kuoa"

Nashukuru mola nina mpenzi mzuri anaenipenda A to Z na hana tabia mbovu na Mola akijalia by mwakani tunaweza badili status zetu.

Sasa, huyu binti anashida gani Tena mpaka aanze kunitumia text za ajabu hizo...

Kibaya zaidi Mimi Sina muda wa kujibu txt zake na sijawahi waza Kama nitajibu ujinga Kama anaoufanya.

Mwenzenu ndio huyo kaanza kutuma text za hovyo wakati hapo alipo Ni degree holder, badala ya kufikilia namna ya kusaka pesa maisha yaendelee anafikiria namna ya kunitumia text za ajabu ili nimjibu hovyo awaambie familia yake waje juu

Et ooohhhh...,
" kwanini unamjibu ovyo mwenzako"

Jamani ukipendwa pendeka, hata Kama kwenu wanauwezo kiasi gani utabaki kupendwa Kama mwanafamilia na sio upendo wa kulala mkiwa uchi.

Aache ujinga akae alee mtoto....asubiri nije nimlipie ndio anipe nimuone sikui itakuwa mwaka gani.
 
Unamfahamu Faiza wa mr Jongwe?

Wawake wako hivi, ukimuacha akampata mtu akampandisha juu kimaisha huwa anakusahau. Lkn akimpata mtu akaanza kufubaa lazima awehuke na kutaka kukutoa kwenye utulivu wako.

Usikubali akutoe kwenye utulivu.
 
Mimi ninge kushauri usipoteze mda na hao wa dudu hata kuoa usieoe tena ni wale wale, tafuta pesa ulee mwanao tu, utaenjoye maisha uko unako elekea unatafuta stress bure sie tunajutia kwanini tuliingia huo ujinga majitu gani yasio kua na shukurani.
 
Nimepata kitu
 
Achana an huyo bidada ila usimtese mtoto hudumia mtoto wako!
 
Mkuu mtoto walimng'ang'ania hata sijawahi kumuona et mpaka nimlipie for what...wakati pesa za kujifungulia nilmpatia..na baadhi ya mambo mengine nilifanya.
 
Mimi ninge kushauri usipoteze mda na hao wa dudu hata kuoa usieoe tena ni wale wale, tafuta pesa ulee mwanao tu, utaenjoye maisha uko unako elekea unatafuta stress bure sie tunajutia kwanini tuliingia huo ujinga majitu gani yasio kua na shukurani.
Shukran mkuu...nmekupata
 
Unamfahamu Faiza wa mr Jongwe?

Wawake wako hivi, ukimuacha akampata mtu akampandisha juu kimaisha huwa anakusahau. Lkn akimpata mtu akaanza kufubaa lazima awehuke na kutaka kukutoa kwenye utulivu wako.

Usikubali akutoe kwenye utulivu.
Gud idea ahsant Sana...
 
Kila la kheri katika hatua zako za uoaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom