Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,516
- 14,173
Watanzania Salam tuachane nazo tu.
Juzi jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia! Ikabidi nimsalimie.
Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes, Kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika ametoka sokoni kununua mboga,Lakini baada ya kumbembeleza sana alikubali kunisikiliza nami baada ya kujitambulisha tuliongea mengi naye akanieleza sio mwenyeji wa hapa ila alikuwa masomoni ndo amehitimu chuo na amekuja kumsalimia mama yake mkubwa.
Nilimwomba tuwe wapenzi akasema atanifikiria, Tulipeana contact then tukaagana.Usiku nkampigia hakupokea nkajua amesinzia nikamtumia sms "good knite" jana asubuhi akanibeep nkampigia akasema amepata safari ya ghafla anataraji kurudi kwao Shinyanga hivyo nikamwomba ikiwezekana tuonane kabla hajasafiri akasema mchana atakuwa free, kwa kua kwangu ni mbali na kwao alishauri nitafute guest mitaa ya karibu ili asichelewe kurudi nyumbani jioni.
Saa 8 unusu nshalipia chumba na kumuelekeza nilipo akasema anamalizia kuoga anakuja, saa 9 nampigia simu hapokei baadaye anapokea anasita kuongea kisha anakata na kunitumia sms "honey niko njiani nakuja, Je uko chumba no ngapi?" Nikamjibu "niko no 9"Nkiwa chumbani nikapata wazo la kwenda duka la hapo jirani kununua condom, ile natoka dukani namwona demu anashuka kwenye tax akiwa na wanaume wanne!
Nilisita kidogo na hawakuniona,demu alitangulia halafu wale jamaa wakasimama nje kama wanapanga jambo flani kisha wakaingia ndani! Demu akanipigia na kusema"baby nimefika chumbani hakuna mtu naona kuna vinywaji tu! Uko wapi? nikamjibu "niko toilet nakuja , Nimejaribu kuchungulia naona wale jamaa wamesimama koridoni kama kuna mtu wanamsubiri! Kwa bahati nzuri sikuja na usafiri wangu hivyo nlizima simu nikaondoka kimyakimya nkachukua tex mpaka home!
Sijui nini kiliendelea huko lakini sa hivi nawasha simu nikakuta ujumbe huu "I'm sorry baby,sikuwa na nia mbaya ila wakati nataka kuja mme wangu alinikuta na kugundua nawasiliana na wewe,amenipiga sana na kulazimisha nimlete gesti ulipo ndo tukaja ila nashukuru Mungu umenusurika alikodi watu watatu! I love Mme wangu akisafiri ntakutafuta"
Wana MMU Wenzangu najiuliza huyu alikuwa na maana gani aliponiambia hajaolewa ndo kamaliza chuo na anaishi kwa mamkubwa! Namshukuru Mungu kuninusuru na balaa hili mpaka sasa nimelala sina hamu na hawa mabinti!