Wanawake mthamini muda, ukipita haurudi tena

Wanawake mthamini muda, ukipita haurudi tena

Nilidhani nyumba inabomolewa kumbe ni ushauri
 
Write your reply...nimekuja mbio nusu nijikwae kumbe Nakuta mwanaume wa dar amekuwa kungwi huku anafunda watu


hivi wanaume wa dar mnakwama wapi
 
Sasa jiandae kuliwa tigo wewe maana baba mwenye nyumba ameshapata taarifa zako
 
Mbona kichwa cha habari na kilichoelezwa hakina mahusiano hata kidogo
 
Inaelekea mtoa mada ndo alitaka aliwe biriani maana anatuchanganyia madawa tittle na content tofauti
 
ndo ubunifu nini kuandika kichwa cha habari maziwa ilhali ujumbe ugoro!
 
Yan jamaa ametoa ujumbe mzuri sana...

Ila watu wanataka kuona jinsi alivyo kula tigo

Huo ni ubunifu wa mwandishi ili awapate wasomaji wengi
 
Vitu vya msingi kwa hadhira iliyo kusudiwa huwa hadhira hiyo inajaribu ku Skipp, ila mleta mada alielezea kitu chenye maana na kilicho beba ujumbe mkuubwa sana kwa hawa nduguzetu jinsia ya pili,,,, ilatu mi naona watu wanarukaruka kamavile hawaelewi kinacho endelea ndani ya jamii.

Anyway
 
Back
Top Bottom