Wanawake mtatuua

Eeehhh usipokuwa makini kifo kinakukaribi nyagi na asprin wala hujaogopa kwanza shukuru alikwend bafu ukalala vinginevyo ushasahaulika
 
Kweli kabisa huu ni ufala yaani unathubutu kujaribu dawa na pombe kumridhisha Baby, Jiangalie mtoto wa kiume nafikiri kifuatacho ni kuliwa kiboga.
 
Yaani kweli wewe mchovu eden
Hadi demu wako anakupa konyagi na aspirin 😀😀😀
 
Hadithi yko inatufundisha nini kwa mfano lbd?
 
asprin mbona inakata pombe! unakuwa hujafanya kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…