Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

Siku za mwanzo goma usilipeleke mjengoni kwako.

Anakuja hadi ofisini inamaanisha ulimpa details zako muhimu zote. Pia inamaanisha hana aibu wala staha kuna siku atakuanzishia varangati hautategemea.

Rookie mistake.
kosa ni kumkaribisha ndani so akaona na id yangu ya kazin coz niko mwenyewe bachelor naiekaga tu ovyo ovyo so siku anayokuja sikuwaza kuitafuta niifiche
 
ahahahahahaha tutawafuata huko huko maofisin ndo akili zikae sawa maana mnakwepa huduma sikuhz papuch mnataka lakin kuwasaidia wanawake shida ndogo ndogo mnakuwa wagumu
kama hzo ndo shida ndogo ndogo hzo kubwa zitakuaje????
 
Kale kauarab kalimchanganya jamaaa..... .
Angemuita geto ampe hata nusu,afu apige tena gemu ya mwishomwisho....
yan vibomu vyote hvo mnanishaur game jingne tena????
sasa saa hv si ataanza kutaka nimnunulie gari kabsa
 
Unaonesha ni mtu mdhaifu kwa papuchi ndan ya muda mfupi kajua had ofis unayofanya kazi.
mkuu aliiona id ya kazini bahat mbaya maana niliekea ovyo
 
Hawa wa sikuiz ukigusa tu kinachofuata ni vibomu extreme
 
Back
Top Bottom